(Surat Aal-Imran: 45)"(Na kumbuka) pale Malaika waliposema: ‘Ewe Maryam! Hakika Mwenyezi Mungu anakupa bishara ya Neno litokalo kwake, jina lake ni Masihi Issa mwana wa Maryam, mwenye heshima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa waliokaribishwa (kwa Mwenyezi Mungu).’"
(Surat Aal-Imran: 47)"Mimi nitapataje mwana hali hajanigusa mtu yeyote?" Malaika akasema: "Ni kama hivyo. Mwenyezi Mungu huumba apendacho. Anapohukumu jambo huliambia tu: Kuwa! Likawa."
(Surat Al-Ma'idah: 75)"Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Manabii wamekwisha pita kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli..."
Mtaelewa tu, wenzenu washaelewaWanatheolojia wa Roman Cathoric hasa mzee Titus Amigu anasema Nabii Issa na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti..
Huyo nabii wenu Issa sijui mudi alimtoa wapi?
Huyo Issa atakuwa mtoto wa Mungu tu, hamna namna!Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.
Ukifikiria sana utaumiza kichwa chako bure. Adam mama yake nani? Hawa mama yake naniHuyo Issa atakuwa mtoto wa Mungu tu, hamna namna!
Si Maryam unasema hakuguswa ila akaambiwa Mungu ndo atafanya?
- Kwahiyo Mungu akamuumba Issa tumboni kwa Maryam sio?
Na wewe ukajua kabisa kuwa ni Mungu na si binadamu yoyote aliyeona ndani kwa Maryam ndo Issa akazaliwa sio?
Kwahiyo Mama'ake Issa ni Maryam?
Baba'ake ni muumba wake, yaani Mungu sio?
Wahenga wakasema "mtoto wa nyoka ni mjusi sio?"
Aah, vyovyote tu, muhimu Issa atakuwa na DNA ya aliyesababisha mimba yake na ndio mzazi wake!
Nabii Issa siyo Yesu, msiforce mambo. Hata Allah ni tofauti na Yahwe (Mungu anayeaminiwa na Waisrael na Wakristo) msitake kufananisha wasiofananaKatika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Kuzaliwa kwa Nabii Issa
Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:
(Surat Aal-Imran: 45)
Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:
(Surat Aal-Imran: 47)
Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.
Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa
Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.
Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.
(Surat Al-Ma'idah: 75)
Nenda kwenye uzi wa Arsis ujifunze dini yako...Ukifikiria sana utaumiza kichwa chako bure. Adam mama yake nani? Hawa mama yake nani
Sasa hao si ndio walikuwa wana kabisa, kwamba mwamba anawacheki bustanini....anaendea kuwagongea gwala!Ukifikiria sana utaumiza kichwa chako bure. Adam mama yake nani? Hawa mama yake nani
Issa siyo Yesu.Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Kuzaliwa kwa Nabii Issa
Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:
(Surat Aal-Imran: 45)
Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:
(Surat Aal-Imran: 47)
Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.
Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa
Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.
Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.
(Surat Al-Ma'idah: 75)
Elimu haina pahala, kwani wewe hapa uzi wako umeongelea ukristo au upagani??Uislam haosomwi hivyo
Zo ni hadithi tu za kutungwa na wanadamu, ndio maana hata kule mnaposema alizaliwa hawamtambui , pia ikaanzishwa propaganda kuwa wao ni wakaidi. Hizi dini mipango ya mwanadamu tu hakuna Mungu anaweza kutuma kiumbe yeyote kwa ajili ya mwanadamu dhaifu kabisa.Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Kuzaliwa kwa Nabii Issa
Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:
(Surat Aal-Imran: 45)
Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:
(Surat Aal-Imran: 47)
Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.
Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa
Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.
Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.
(Surat Al-Ma'idah: 75)
Hawatakuelewa walishalishwa matango pori!Waislamu acheni bangi, Issa sio Yesu.
Nabii Isaa hakusurubiwa aliywaliwa lakini Yesu Kristo alikufana na baada ya siku tatu akafufuka!Kama nabii Issa sio Yesu na Yesu sio nabii Issa..swali langu Huyu Yesu ni nani? na huyu Issa ni nani? kwa kuongezea hapo nipate tofauti ya IBRAHIM NA ABRAHAM.Nakama Ibrahim sio Abraham huyu Abraham ni nani na huyu Ibrahim ni nan? majibu tafadhali.