Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

shida au cha muhimu ni yupi analengwa. ndio inakuonyesha hao walengwa ni wawili tofauti kwani characters/attributes ni tofauti kabisa kati yao.
nimeupdate comment mkuu --- so unakubali kwamba jina halina impact kubwa?
 
Nyie makobazi acheni wenge, kobaz Issa sio Yesu, Hao ni watu wawili tofauti kabisa
 
Kama nabii Issa sio Yesu na Yesu sio nabii Issa..swali langu Huyu Yesu ni nani? na huyu Issa ni nani? kwa kuongezea hapo nipate tofauti ya IBRAHIM NA ABRAHAM.Nakama Ibrahim sio Abraham huyu Abraham ni nani na huyu Ibrahim ni nan? majibu tafadhali.
Simple tuu, msome Issa kwenye kuran then msome Yesu Kwenye Bible utaona utofauti wao
 
Wanatheolojia wa Roman Cathoric hasa mzee Titus Amigu anasema Nabii Issa na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti..

Huyo nabii wenu Issa sijui mudi alimtoa wapi?
Ni kweli Yesu sio Nabii Issa sifa zao hazifanani
 
Nabii Issa sio Yesu

Nabii Issa hajawahi kuteswa wala kusulubiwa

Nabii Issa hajawahi kufa na kufufuka

Nabii Issa ni mtume

Yesu Kristo mfufuka alie hai ni mwana wa Mungu

Yesu Kristo anaishi na atarudi tena kwa mara ya pili

JUENI KUTOFAUTISHA
 
Hivi kwanini Qurani ya Kiswahili haiandiki jina la Yesu kwa Kiswahili?
Inaogopa Majini yatafanya fujo na kukimbia Misikitini:
Sisi tunalijua hilo
 
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:


(Surat Aal-Imran: 45)



Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:


(Surat Aal-Imran: 47)



Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.

Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.

Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.


(Surat Al-Ma'idah: 75)
Kazi yenu ni ku copy, ku paste na ku edit kutoka kwenye Biblia
 
nimeupdate comment mkuu --- so unakubali kwamba jina halina impact kubwa?
kwani maana ya jina kwako ni nini? si utambulisho wa mtu binafsi? ulengwa ndio hoja sio matamshi.
 
naam hii post yako #68 inaisahihisha post yako #53
mimi naongea kiroho, wakati wewe unaseaza kimwili wakati shetani amekujaa moyoni ndio maana unashindwa kuelewa. nitakuignore tu ili nisione kabisa post zako kwa sabaub huwa sipendi kupoteza muda na watu wenye nia ovu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
mimi naongea kiroho, wakati wewe unaseaza kimwili wakati shetani amekujaa moyoni ndio maana unashindwa kuelewa. nitakuignore tu ili nisione kabisa post zako kwa sabaub huwa sipendi kupoteza muda na watu wenye nia ovu.
Soma hizo post mbili uone kama hazikinzani mkuu

Suala la ignore sio lazima utumie menu

Shetani hawezi nijaa mkuu

Kila la kheri
 
Nyote mnabishana juu ya mambo yaliyosimuliwa then yakaandikwa , sote tunajua impact ya hadithi toka kwa mhusika hadi msimuliwaji wa 4 ndanimo kuna kuongezeka na kupungua kwanmengi na kwa vile muhusika hayupo kusahihisha ukwel wa matukio hamna budi kubaki na mliyosimuliwa kama ndo fact ila haimaanishi aliyewasimulia na kuyaandika yey yupo sahihi all i know yey pia ni binadaam na ana kasoro zake
Tumeletwa duniani kutafuta elimu hakikisheni mnaitafuta elimu pande zote bila kumkosea muumba wa kila kitu

Mwsho nimalizie kwa kusema kuwa sote ni watoto wa baba mmoja Adam tusihitilafiane kwa mambo ambayo elimu yake ni ndogo kwetu , nawashauri tusome ila tusiwe wajuaji kwa maana ya mungu ndo mjuzi wa yote
 
Waarabu Wakristo hawakemei mapepo kwa jina la Isa:
Wala Nyimbo zao hawamsifii kiumbe Isa,
Nenda YouTube au Tiktok kasikilize Nyimbo zao za Ibada halafu ulete mlejesho humu:
Isa ametengenezwa makusudi kwa kusudi ya Kupotosha Kweli ya Mungu:
 
Back
Top Bottom