Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

Ni mpumbavu pekee ndie atakaemuita Yesu ni nabii isaa

Nabii isa ni project maalum ya mpinga kristo.

Siku zote ukitaka kufanya kitu kipotee katika umaarufu wake ni kukishusha thamani, thus jamaa aliona akimuweka Yesu katika matawi ya juu kumzidi yeue wafuasi wake hawatamchukulia serious kama ilivyo leo.

I DONT CARE KAMA UNAAMINI KATIKA YESU AU LA ILA YESU SIO NABII ISA, yesu sio mtume.

THINK BIG.!
 
Hapana siyo.
Nabii Issa hajafa msalabani wala hajafundisha watu ushirikina wa kusema kuwa yeye ni mwana wa mungu, kwakua anajua Mungu ni mmoja hajazaa wala hajazaliwa

Katika Quran Surat Maida inasema

"Na (wakumbuke) pale Allah atakaposema: Ewe Isa mwana wa Mariamu! Je, wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa miungu badala ya Allah?"*
Isa atasema: *"Subhanaka (Umetakasika)! Haiwezekani kabisa mimi kusema jambo ambalo sina haki nalo"
(Qur'an, Surah Al-Ma'idah 5:116)

Huyo yesu yeye alikufa msalabani na alifundisha watu wamuite yeye ni mwana wa mungu kwahiyo ni vitu viwili tofauti

Mmoja alikataa yeye siyo mwana wa Mungu wala mama yake siyo mama wa Mungu, mwingine kawafundisha watu kuwa yeye ni mwana wa mungu na mama yake ni mama wa mungu.
 
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:

(Surat Aal-Imran: 45)

Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:

(Surat Aal-Imran: 47)

Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.

Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.

Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.

(Surat Al-Ma'idah: 75)
Isa siyo Yesu.
 
Wanatheolojia wa Roman Cathoric hasa mzee Titus Amigu anasema Nabii Issa na Yesu Kristo ni watu wawili tofauti..

Huyo nabii wenu Issa sijui mudi alimtoa wapi?
Waislamu wanalazimisha undugu na wakristo 😹
 
Kama nabii Issa sio Yesu na Yesu sio nabii Issa..swali langu Huyu Yesu ni nani? na huyu Issa ni nani? kwa kuongezea hapo nipate tofauti ya IBRAHIM NA ABRAHAM.Nakama Ibrahim sio Abraham huyu Abraham ni nani na huyu Ibrahim ni nan? majibu tafadhali.
Ibrahimu wa Biblia Baba yake ni Tera.
Ibrahimu wa Qurani Baba yake ni Azar
Je hawa ni wamoja ?
 
hapana, sasa Ibrahim halisi baba wa imani ni yupi?Sasa Abraham ni nani.
Tarizo la Qurani inatoa family profile tofauti na ile ya awali ya kwenye Biblia:
Mfano inasema Mama wa Yesu Mariam ni Dada wa Haruni na Musa:
Wakati Musa alikuwa na Dada aliyeitwa Miriam na sio Mariam:
Hapo utaelewa nini ?
 
contradiction, hapo kila mtu afate yake Mungu ni mmoja lakin pia hakatazi kuamia upande wa pili.
 
Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu.

Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Nabii Issa alizaliwa na Bikira Mariam (Maryam, AS) bila baba, jambo ambalo ni muujiza wa kipekee. Qur'an inatoa maelezo haya:

(Surat Aal-Imran: 45)

Mariam alishangazwa na habari hii, akasema:

(Surat Aal-Imran: 47)

Hii inaonyesha kuwa kuzaliwa kwa Nabii Issa ni kwa amri ya Mwenyezi Mungu bila ya baba. Hali hii inalinganishwa na uumbaji wa Nabii Adam, ambaye aliumbwa bila baba wala mama.

Nia na Maana ya Kuzaliwa kwa Nabii Issa

Kuzaliwa kwa Nabii Issa ni ishara ya uwezo wa Mwenyezi Mungu na rehema zake kwa wanadamu. Alitumwa kama Nabii kuleta ujumbe wa tauhidi (kumwabudu Mwenyezi Mungu pekee) na kuwahimiza watu kutenda mema na kuacha maovu.

Uislamu unamheshimu sana Nabii Issa kama mtume wa kweli wa Mwenyezi Mungu, lakini haukubali dhana ya kwamba yeye ni mwana wa Mungu au sehemu ya Utatu, bali ni mtumwa na mjumbe wa Mwenyezi Mungu.

(Surat Al-Ma'idah: 75)
Yesu Kristo sio issa bin mariam, ni uongo mood aliuleta kwa kutumiwa na shetani ili kupotosha Neno la Mungu la kweli.ndio maana ukienda msikitini sema kwa Jina la Yesu Kristo majini yanahaha na utafukuzwa, na ukisema kwa jina la issa bin mariam, yanafuraaahi. issa bin mariam anatajwa kila siku, na Jina la Yesu marufuku.
 
Nje ya mada mkuu kwsmfano uliutoa vipi tukiweka watu watano kutoka mataifa tofauti na kila mtu akatumia lugha yake watapata matokeo sawa?
 
Jina Yesu linatokana na jina Yeshua, na nikijibu hoja yako, hata ulete lugha 10 zikaongea tarakimu zinazotofautiana kama ilivyo Yeshua, Jesus, Yesu n.k bado huyo wanayemtaja kwa tarakimu tofauti sio yule Isa bin mariam. why? kwa sababu hata maisha yake ya kuzaliwa, kufa, kufanyika kafara la wanadamu, kufufuka, kupaa mbinguni, na sifa ya Uungu, yanavyoelezewa juu ya hao wawili ni tofauti kabisa kabisa, jambo linaloonyesha sio mmoja.

1. waisla mhawasemi Isa bin mariam ni Mungu, kwa hiyo huyo wanayemrefer sio yule Yesu ambaye sisi tunasema ni Mungu.

2. waislam hawaamini kama isa bin mariam alikufa msalabani, wakati wakristo tunaamini kuwa Yesu Kristo alikufa msalabani.

3. waislam hawaamini kama Yesu Kristo alimwaga Damu yake kuwa ondoleo la dhambi, meaning, huyo wanayemwita isa bin mariam sio huyo ambaye sisi tunaamini alimwaga Damu kwa ondoleo la dhambi na ukombozi wetu.

4. Mohamad aliyeleta kuran alizaliwa miaka 600 baaada ya Yesu na mitume, jambo ambalo ni wazi hana moral authority kutufanya tuamini anachokisema kuhusu Yesu Kristo. huyo wanayemwita isa bin mariam shetani alitunga hilo jina ili kuwapoteza wanadamu ramani wasimwamini Yesu Kristo wapoteze muda kutaja isa bin mariam.

5. nimeshuhudia kwa macho yangu na ndiyo maisha ninayoyaishi, kwamba Jina la Yesu Kristo lina Nguvu ya ajabu, uwe umetaja Yeshua, Jesus, Yesu n.k as long as unayemmaanisha rohoni ndio yule yule, Magonjwa yanapona, mashetani yanakimbia, miujiza ile ile iliyofanywa na mitume inatokea. ila sijawahi kuona muujiza hata wa kufukuza mende tu umetokea jina la isa bin mariam likitajwa.

katika mazingira kama hayo, unafikiri ukweli ni upi sasa?
 
M nahisi ni nguvu ya imani zaidi kuliko jina
Kuna usemi unaosema "imani yaponya" ukiamin kuwa unaweza kukata mbuyu kwa shoka mmoja basi itawezekana kama kiasi chako cha imani ni kikubwa
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Jina Yesu linatokana na jina Yeshua, na nikijibu hoja yako, hata ulete lugha 10 zikaongea tarakimu zinazotofautiana kama ilivyo Yeshua, Jesus, Yesu n.k bado huyo wanayemtaja kwa tarakimu tofauti sio yule Isa bin mariam. why? kwa sababu hata maisha yake ya kuzaliwa, kufa, kufanyika kafara la wanadamu, kufufuka, kupaa mbinguni, na sifa ya Uungu, yanavyoelezewa juu ya hao wawili ni tofauti kabisa kabisa, jambo linaloonyesha sio mmoja.

1. waisla mhawasemi Isa bin mariam ni Mungu, kwa hiyo huyo wanayemrefer sio yule Yesu ambaye sisi tunasema ni Mungu.

2. waislam hawaamini kama isa bin mariam alikufa msalabani, wakati wakristo tunaamini kuwa Yesu Kristo alikufa msalabani.

3. waislam hawaamini kama Yesu Kristo alimwaga Damu yake kuwa ondoleo la dhambi, meaning, huyo wanayemwita isa bin mariam sio huyo ambaye sisi tunaamini alimwaga Damu kwa ondoleo la dhambi na ukombozi wetu.

4. Mohamad aliyeleta kuran alizaliwa miaka 600 baaada ya Yesu na mitume, jambo ambalo ni wazi hana moral authority kutufanya tuamini anachokisema kuhusu Yesu Kristo. huyo wanayemwita isa bin mariam shetani alitunga hilo jina ili kuwapoteza wanadamu ramani wasimwamini Yesu Kristo wapoteze muda kutaja isa bin mariam.

5. nimeshuhudia kwa macho yangu na ndiyo maisha ninayoyaishi, kwamba Jina la Yesu Kristo lina Nguvu ya ajabu, uwe umetaja Yeshua, Jesus, Yesu n.k as long as unayemmaanisha rohoni ndio yule yule, Magonjwa yanapona, mashetani yanakimbia, miujiza ile ile iliyofanywa na mitume inatokea. ila sijawahi kuona muujiza hata wa kufukuza mende tu umetokea jina la isa bin mariam likitajwa.

katika mazingira kama hayo, unafikiri ukweli ni upi sasa?
mkuu kwa maelezo haya uliyoyaandika hasa point namba 5 --- ni umeweka wazi kwamba shida siyo jina

point namba 1 vipi kuhusu madhehebu yasiyoamini kwamba Yesu ni Mungu?

point namba 4 shetani anapewa zigo la lawama tu mkuu
 
mkuu kwa maelezo haya uliyoyaandika hasa point namba 5 --- ni umeweka wazi kwamba shida siyo jina
shida au cha muhimu ni yupi analengwa. ndio inakuonyesha hao walengwa ni wawili tofauti kwani characters/attributes ni tofauti kabisa kati yao.
 
Back
Top Bottom