Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
.....hutaki akina ''YES WE CAN'' wa 50 years to come wewe?
Hapo kwenye nyekundu imekaaje?Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta wanatoka nchi za Ulaya kama Uingereza na kuja Marekani kuzalia. WTF?
Wanakaa hadi wanajifungulia huko. Wakishajifungua hao wanarudi zao huko walikotoka. Sielewi kwa nini wanafanya hivyo lakini sababu naijua. Nyinyi wadau mnalionaje hili? Ni jambo jema au ni jambo linaloendeleza ile dhana ya Miafrika na jinsi ilivyo....
Hapo kwenye nyekundu imekaaje?
Ha ha ha Kazi kwelikweli!! Nimekusoma mkuuImekaa ilivyokaa
Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta wanatoka nchi za Ulaya kama Uingereza na kuja Marekani kuzalia. WTF?
Wanakaa hadi wanajifungulia huko. Wakishajifungua hao wanarudi zao huko walikotoka. Sielewi kwa nini wanafanya hivyo lakini sababu naijua. Nyinyi wadau mnalionaje hili? Ni jambo jema au ni jambo linaloendeleza ile dhana ya Miafrika na jinsi ilivyo....
OPP mbona unauliza majibu!? Akili kichwani bro" na wakishajifungua hawaondoki mpaka wakamilishe makaratasi ya kichanga.
Hebu tupe statistics tafadhali...tunataka a scietific research sio kuona watu wawili ama watatu wamefanya hivyo basi unajererolaizi.
Aliye lala usimwamshe...mwache aendelee kuliwa na ufisadi wao. Lol.......USA land of opportunity, hivyo kuna baadhi ya watu wanapenda watoto wao kuwa raia wa huko ndio maana wanapenda kwenda kuzalia huko.
.......USA land of opportunity, hivyo kuna baadhi ya watu wanapenda watoto wao kuwa raia wa huko ndio maana wanapenda kwenda kuzalia huko.