Wewe ni mhaya. Mhaya haoi Nyailya! KAYAMBA!Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting.
Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji yoote kwa mtoto bila wasiwasi na mama wa mtoto ana kipato kikubwa cha kujitosheleza, what could be worse ?
Acha kijana wa watu ale maisha, acha kumtishatisha na imani zako potofu.ushapewa tahadhari wewe unataka kuonja sumu
Kasema sio kuoa ila kuchapa ilale yaan kuipiga mimba ila kuoana ni negative, hapo unashauri nini is it possible or not?Wewe ni mhaya. Mhaya haoi Nyailya! KAYAMBA!
And why should you marry Makayamba?
Wewe zalisha, acha kujifunza kwa ma bro waliofeli kwa sababu huwezi kuijua kesho yako.Mimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried
Nimekuwa nikisikia mara kadhaa kwa mabro na kwenye forums za kijamii kuwa kati ya makosa makubwa unaweza kuyafanya kama mwanaume ni kuzaa na mwanamke ambaye huna mpango wa kumuoa, yaani kufanya coparenting.
Iwapo nina kipato kinachoniwezesha kutoa mahitaji yoote kwa mtoto bila wasiwasi na mama wa mtoto ana kipato kikubwa cha kujitosheleza, what could be worse ?
Si anataka mtoto???Sasa kwanini uzae na mtu ambaye huna mpango naye? Aisee
Ili mtoto apatikaneSasa kwanini uzae na mtu ambaye huna mpango naye? Aisee
Soko gumu kwenye kufanyann?Unajua kuzaa naye Labda iwe bahati mbaya tu we ulikuwa unapooza ikatokea mistake mimba hiyo
Ila kama unadhamiria kabisa Kwamba umpe mimba wakati huna malengo naye ni sawa na kumuharibia maisha
Maana hata ukimchukua mtoto wako bado atabakia na chapa ya single mother na soko lake litakuwa gumu zaidi
Kwa hio unasema nini unamshauri nini avae mpira?Unajua kuzaa naye Labda iwe bahati mbaya tu we ulikuwa unapooza ikatokea mistake mimba hiyo
Ila kama unadhamiria kabisa Kwamba umpe mimba wakati huna malengo naye ni sawa na kumuharibia maisha
Maana hata ukimchukua mtoto wako bado atabakia na chapa ya single mother na soko lake litakuwa gumu zaidi
Kwenye kupata mwenza asilimia kubwa wanaume tunaangalia ambaye bado hajazaa ili tuanze naye maishaSoko gumu kwenye kufanyann?
Umejuaje mimi ni mhaya mkuu? Wahaya ndio wanazaa bila ndoa??Wewe ni mhaya. Mhaya haoi Nyailya! KAYAMBA!
And why should you marry Makayamba?
Kama anapata mtu ambaye wanakubalina kwa hilo sawa ila kama mmepanga kupata mtoto pamoja na yeye akiwa na matumaini ya kuishi wote kumbe wewe huna malengo naye ni sawa na kumkatili tuKwa hio unasema nini unamshauri nini avae mpira?
Wanaume watoto labda.. wengi hawana hizo pigo!Kwenye kupata mwenza asilimia kubwa wanaume tunaangalia ambaye bado hajazaa ili tuanze naye maisha
Mkuu usimpe mimba mwanamke usiepanga kumuoa period. Unless azingue mwanamke ndio mtengane. Sio nzuri mtoto kuwa na malezi ya mzazi mmoja na sio nzuri mzazi kulelewa kwenye mazingira hayo hasa kunapokuwa na uwezekano wa kukwepa hicho kitu. Kuna athari nyingi za kumpa mimba mtu na kumtupaMimi ni kijana , 25 yrs old . Unmarried