Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,608
- 93,405
Ni kweli kama Lady Jaydee, nadhani huyu dada hapungui miaka 45.kuna watu wanatafuta watoto hawapati ila miujiza ya mungu unashangaa mtu anagonga 42 na kubeba mimba raha iliyoje
Hapo utaomba mungu akupe miaka 70 ya kwenye bible akuongezee na mingine 10 utunze mwanao
na mwanamke kucheza rede au mdako
Kweli Mungu ni mwema, ila mtu kama huyo anaweza asipate bahati ya kushiriki maisha ya mwanae kwa kiasi kikubwa. Kwahiyo wale wakupanga wajitahidi iwe mapema kiasi.kuna watu wanatafuta watoto hawapati ila miujiza ya mungu unashangaa mtu anagonga 42 na kubeba mimba raha iliyoje
Hapo utaomba mungu akupe miaka 70 ya kwenye bible akuongezee na mingine 10 utunze mwanao
Ni kweli kama Lady Jaydee, nadhani huyu dada hapungui miaka 45.
Na kukimbizana kwenye majani na mwanae. . .raha iliyoje.
wanawake wa zis generation awawez bora sisi vijana wa kiume,wasichana/wanawake
uyo mchina chini ya mgongo na mwingne kifuani watapata wapi punzi ya kukimbia zaidi ya kukaa kwenye sofa na remote kukariri majina ya waigizaji
........hivi mtu unapozaa after 40, tena mtoto wa kwanza unapata kwenye umri huo unafikiri nini?
Siku hizi baadhi ya wanawake kwa wanaume wanapata mtoto kwenye 40 au zaidi ya hapo.......je hawa watu hawafikiri baada ya miaka 15-20 si watakuwa wameezeka? Huyo mtoto si atakuwa kama mjukuu!! Vile vile kwenye umri huo utakuwa umestaafu.......utaleaje huyo mtoto, kama huna hata saving utasomeshaje huyo mtoto ili aje kuwa maisha bora?
Najiuliza tu!!
Hapo nimekupata Pretty.......Kama una matatizo ya uzazi hiyo inaeleweka, ila kuna wengine wanaamua tu kuchelewa kuzaa, wanasema wanaponda kwanza maisha hii kwa wanawake/wanaume.
ukija upande wa kike hawa ndio wale kutwaaaa kutumia madawa ya kuzuia mimba, au kutoa kabisa hizo mimba. Wanaona kuzaa mapema kama kujizeesha.
Ndio hapo, wanapokuja kukumbuka shuka kumbe kumekucha.
Kuwa na baba ambae hata hawezi cheza mpira na mtoto wake is soooooo not fun. Binafsi nadhani ni vizuri watu wakajitahidi kupata watoto wakati bado wana nguvu za kutosha, uzee ukija wanapumzika.
kwa msingi huu mie nitabakai na huyu mmoja ikiwa sitapata mwingine within 3 yrs