Kuwindana na kuwekeana bifu kisa mapenzi

Kuwindana na kuwekeana bifu kisa mapenzi

Hapo sasa ndio unatakiwa uonyeshe uanaume, acha uoga kaza sana mkuu
Mkuu kuna majanga sana humu duniani maana nmemuona babe mama amevimba sana na ameonekana amekula hela nyingi sana ya huyu jamaa
 
Hapa ndo patamu. Mi napenda sana hizi issues kama unaweza niuzia huo msala niuzie we achana na hizo vurugu jamaa asije akakudhuru. Tuachie sisi ambao tulivuka maji ya shingo bila pumbu kuloa. Unamwita huyo demu na jamaa mnakaa halaf unamwambia demu achague kati yenu anamtaka nani. Akisema anakutaka wewe unamwambia ainuke atangulie kwenye gari.then jamaa unamwambia ukisikia tena anamtishia baby wako maisha atajua kilichomtoa kanga manyoya. Na akikutaka mwelekeze unapopatikana then you leave. Unapanda kwenye gari yako unaondoka na demu kwenda kumpiga mikasi...show kali. Ndo unamaliza hivyo.
GuDume nimekuelewa sana mkuu uzhauri mzuri sana huu nimeoanga kuongea na jamaa weekend babe mama tumuweke mtu kati achague
 
Huyo jamaa walikuwa hawajaachana na demu kifupi ni kuwa jamaa kashtukia kama kuna mtu anamla demu wakat yeye anagharamja mzigo


Uwe makini sn na madem wa chuo
Mkuu jamaa amenitafuta jioni hii anaonekana amelewa amethibitisha kumpa pesa nyingi sana huyu babe mama kamma za matumizi na outing mbalimbali
 
Hii mbona kama chai.


Kama kweli uko chuo unakuwaje na uandishi wa namna hii? Alama za uandishi huzijui?
Mkuu alama za uandishi kuwekwa na kutokuwekwa zinaongeza radha ya kazi husika,rejea fasihi vizuri
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Mzazi wako anajua unayofanya kwa ada anayokulipia?? Nzi kabisa ww
 
Dunia ina watu billion 7!...cha kufia nini kwan mkeo huyo ad upambane hivyo...duuh
 
Mkuu nimeshangaa sana huyu kudate na mtu mwingine maana nikastaarabu sana na kaelewa mno
Indicators za usitaarabu na uelewa katika mapenzi ni zipi? Na kwanini unashangaa. Mimi nakushangaa unaposhangaa.
 
Indicators za usitaarabu na uelewa katika mapenzi ni zipi? Na kwanini unashangaa. Mimi nakushangaa unaposhangaa.
Mkuu asante kwa elimu yako, kweli usimuwekee dhamana mtu uliyekutana nae ukubwani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom