Wandugu,
hebu nisaidieni kufafanua huo haya maneno hapa; "Kuwika kwa Jogoo kunahitaji Busara".
Ni kweli jogoo hua anawika kwa busara? Na kama ndio, kwani viumbe wengine, ukiwaacha wana-wa - adamu, wana utashi? Naombeni tu msaada, nielewe.
Inawezekana jogoo wengine hawana hawana busara, ndio maana unakuta wengine wanawika saa 12 au 1 jioni.
Nahisi anazungumziwa jogoo wa mwanadamu!
Sio kweli, jogoo wengine wanawika bila hata busara ndio maana utakuta wengine wanawika hata ndani ya daladala!