kuweni makini na mdudu jamii hii "DENGUE"

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,335
Reaction score
28,625
aedes_albopictus01.jpg
 
TGONJWA HUU HASA UPO ORIGINATED ASIA WACHINA NA WAENDA CHINA KIBIASHARA NDIO WALIOTULETEA DHAHMA HII.kwani mbu hawa wa madoadoa ni wakawaida na walikuwa hawana madhara yoyote kwa jamii yetu,kichaga huitwa "vitsina" huuma zaidi wakati wa mchana
 
Chonde chonde Mungu tusaidie waja wako, maana kwa kutumia nguvu zetu tunaweza kuudhibiti lakini bila wewe tukajikuta Kesho umeibuka ugonjwa mwingine wa "Maharage" wakati huu wa Dengu tu haujaishaaa....
 
magonjwa yanazidi kuongezeka kila siku
ukimkwepa anopheles usiku mchana kuna aedes aegypti
 
Viasina ndo wenye huo ugonjwa?dah Mungu bariki ugojwa ubakie uko uko dar kwenu.
 
Homa ya dengue iko Malasia, Thailand, Filipino miaka mingi. Wao watibu na kuzuia isiwapate kwa kutumia Papai wanatafuna na mbegu zake. Au majani ya papai ma-5, twanga, au ponda, kama blenda inaweza upate rojo la kijani, kamua weka asali, tumia 3 vya chakula kwa siku. Utajiwekea kinga hutaugua homa hii. Mjulishe na mwingine. Angalia kwny internet google, andika Dengue fever malysia. Utaona wanavyo tumia product za papai wanajikinga na kupona. Tahadhari ni hatari ikikushika haina tiba. Heri kinga.
 
Mbona rayc kapona?
 
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom