Kuweni Makini na Madeleka

Kuweni Makini na Madeleka

Mbona jamaa yeye kama ni jeshi la mtu mmoja na anajiongelea tu mambo yake ya kisheria kikakamavu. Kuna wakati yanawafurahisha Wanaharakati kunawakati yanafurahisha watawala.

Mimi nadhani kila mtu afanye mambo yake.
Mfano anasema..
1: Lissu kuwa muhaini ni uongo ni kesi ya uongo.
2:Mama ndio role model wake namba moja. Anazikubali sana zile 4R.
Binafsi nampenda nikimuona popote lazima nimsikilie maana akiongea lazima upate kitu kipya kwenye akili. Sio kama yule Mwakabu...
Sio jeshi la mtu mmoja, anajua anachofanya kwa mtindo huo huo unaomwona nao
 
Mkurupukaji tu huyo....

Hajui kusoma upepo..angetuliza kichwa akajiunga CHADEMA...akagombea Ubunge-Jimbo la Ilemela-Mwanza,wakati wowote alikuwa anashinda tena kwa kishindo.

Msaada na Utetezi, wake wa Kisheria kwa makundi mbali mbali ya Kijamii aliokuwa anautoa..Ulikuwa umeanza kuzungumziwa sana kwenye vijiwe na viunga vya Jimbo hilo lenye maamuzi tasa,ki Siasa.

Na Jimbo hilo lilivyo na makundi tofauti tofauti ya Kijamii yanayosigana mara kwa mara na vyombo vya Dola(Wavuvi,Wamachinga,Mama Ntile,Wanawake-Barmaids-Dada Poa nk.).Kwa Mwelekeo wake huo, alionyesha ku 'FIT IN'.

-Msimamo.wa -'No Reforns No Election'- akashindwa kuendana nao..Akayumba.

Kwa sasa haeleweki kama ni MNYAMA au NDEGE..amekuwa POPO
Naona anajua anachofanya, kipindi kile alitumika baadaye amejiresha kwa namna ambayo ni ngumu kujua
 
Kama alikuwa anakubalika, angepita ubunge bila kujali chama kinachomdhamini. Ni kama ilivyokuwa kwa Mfalamagoha Kibasa 1995 Iringa mjini, Mkosamali na Machali 2010
Nakubaliana na wewe vizuri tu.
Tofauti hapo ni Mazingira ya Siasa za eneo husika zinakuwa ngumu kwa hilo..nadhani hata yeye analitambua hilo.

Kwa Mwanza Majimbo ya Ilemela,Nyamagana na Ukerewe,ya naamini sana Siasa za Upinzani kwamba ni kupitia CHADEMA nje ya hapo mashaka yanakuwa ni mengi. Swali maarufu huko nyakati za chaguzi huwa ni..'Je, CHADEMA wana Mtu/Mgombea'?..

Ndiyo maana alijiunga ACT-Wazalendo na kuhamia kugombea Jimbo La Geita Mjini kule.Japo Ilemela hapo panatajwa kuwa eneo alilowahi kuishi muda mwingi kwenye historia ya makuzi yake.
 
1. Madeleka ni Kada Mtiifu wa CCM
2.Madeleka ni Askali police.
3. Madeleka ni Pandikizi la CCM ndani ya ACT WAZALENDO.
4. Madeleka ni Mpokea Taarifa akumalize.

KUWENI MAKINI SANA NA BINADAMU.
MAANDIKO YANASEMA USIMUAMINI MWANADAMU.
Kwa akili hizo, nawaapia hawa chadema ni hatari kuliko watu wowote hapa Tanzania. Fikiria bwege kama huyu anashika madaraka, Kuna yeyote atakayethubutu kusema lolote?!!! Ukisema tu unapewa majina mabaya na visasi kama hivi.
 
Tujifunze kuheshimu watu wanaojitokeza waziwazi kusema misimamo yao tena ya kupinga serikali uaji kama hii, hata kama hatuwapendi, chukua points chambua baki na kinachokufaa vingine tupa.

Kwa hali ya sasa mtz kusimama na kuzungumza kama huyu jamaa ni sawa na kulalia mtutu wa bunduki wenye risasi zilizokokiwa kabisa! Tuwaheshimu sana na sio rahisi kama kuandika hapa na tukitumia majina fichwa
 
Tujifunze kuheshimu watu wanaojitokeza waziwazi kusema misimamo yao tena ya kupinga serikali uaji kama hii, hata kama hatuwapendi, chukua points chambua baki na kinachokufaa vingine tupa.

Kwa hali ya sasa mtz kusimama na kuzungumza kama huyu jamaa ni sawa na kulalia mtutu wa bunduki wenye risasi zilizokokiwa kabisa! Tuwaheshimu sana na sio rahisi kama kuandika hapa na tukitumia majina fichwa
Sijapandikiza chuki, nimesema kuweni Makini na Madeleka
 
Amegusa mfupa sasa vi shoga kutoka chember maalumu vimekuja na oil chafu. Kampa makavu aliye watuma kwamba uana harakati sio ugaidi
 
Ni mjanja fulani, akisikia jambo anakimbilia kufungua kesi halafu anaombq michango.
Kesi zake nyingi hazina mwendelezo ingawa anapenda kuziongelea twitter.
Alikimbilia kesi ya wachezaji wa S8ngida united kupewa uraia bila kutimiza vigezo hukumu ilipotolewa hakuhangaika wala kukata rufaa ninkama alihalal8sha ili mtu mwingine baadae ashindwe kuhoji.
 
1. Madeleka ni Kada Mtiifu wa CCM
2.Madeleka ni Askali police.
3. Madeleka ni Pandikizi la CCM ndani ya ACT WAZALENDO.
4. Madeleka ni Mpokea Taarifa akumalize.

KUWENI MAKINI SANA NA BINADAMU.
MAANDIKO YANASEMA USIMUAMINI MWANADAMU.
Atakuwa anamshahara mrefu sana
 
Kitaaluma yuko njema sana hilo halina ubishi..Utata ni namna anavyojaribu kui husianisha taaluma yake hiyo ya Sheria na suala zima la Siasa..na uzuri hajaingia kwenye Siasa kwa kificho,alikuwa wazi na dhani 2020 aligombea hata Ubunge Jimbo la Geita Mjini kupitia ACT-Wazalendo.

Matamko yake mengi sasa yamekuwa ni yenye kubeba mkanganyiko mwingi tu.Msikilizaji wake inakubidi uchukue upande mmoja kati ya Mwanasheria au Mwanasiasa .ndipo utamwelewa vizuri .
Nadhan huipi muunganiko mzuri mbinu yake ya uwasilishaji. Kuwasilisha ni art sio!
Ni sawa na mtu kukusifia kwa namna inayokudhalilisha!
Mf. ni hoja 4R aliisifia kwa namna inahitimisha kuwa basi aliyeileta hajui alimaanisha nini ukilinganisha na hali ya sasa.
Unahitaji kumsikiliza Madereka kifasihi pia.
Mf mwingine ni kumsifia rais kwa kufuta kesi za kubambikiza 1000+ na Lisu yu ndani!
Isitoshe, watu werevu hujikita zaid katika hoja iliyoko mezani kuliko personality ya aliyeileta(ndo mana tunashauriwa hata kichaa msikilize kwanza mpaka ujiridhishe vinginevyo)
 
Nadhan huipi muunganiko mzuri mbinu yake ya uwasilishaji. Kuwasilisha ni art sio!
Ni sawa na mtu kukusifia kwa namna inayokudhalilisha!
Mf. ni hoja 4R aliisifia kwa namna inahitimisha kuwa basi aliyeileta hajui alimaanisha nini ukilinganisha na hali ya sasa.
Unahitaji kumsikiliza Madereka kifasihi pia.
Mf mwingine ni kumsifia rais kwa kufuta kesi za kubambikiza 1000+ na Lisu yu ndani!
Isitoshe, wafu werevu hunikita zaid katika hoja iliyoko mezani kuliko personality ya aliyeileta(ndo mana tunashauriwa hata kichaa msikilize kwanza mpaka ujiridhishe vinginevyo)
Sawa Mkuu..ila uwasilishaji kwa Lugha ya kawaida tu na yenye kueleweka kwa wepesi ..ni afya zaidi kwa Mwana Siasa katika kuyafikia malengo yake.
 
we CCM akili zako
FB_IMG_1783927668104.jpg
 
Back
Top Bottom