Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,738
Seran kakukataaHongera kwa kununua simu na kuweza kuingia kwenye mitandao ya kijamii,
Hiyo issue wala sio mpya,ipo miaka mingi tu huko mitandaoni,
Nje ya topic,
Tafuta Mwalimu wa Kiswahili akufundishe somo la Muandiko coz uandishi wako umekaa kama ile miandiko ya ile Mishangazi ya tik-tok
Ukiona hivyo jua kautakaWanaume sai wanatongoza wanaume bila kujua.yan mwanaume anaweka profile ya kike alaf mwanaume unadata nae. Kwanza facebook na JF wanaume kuen makin
Mchina mimi nazikubali sana nyuzi zako ila rekebisha uandishi tu.Seran kakukataa
mbona seran umekuwa mkali sanaNyuzi zako zikikosa wateja unatafuta kick
Kwa nguvu! Umehangaika kule umekosa majibu unakuja kuanzishisha mada za kikuda! Wafate pm wakuanzishie na wewe kama unahisi kuna kitu wanapata! Wewe kuna mtu anakujua una jinsia ipi au shobo za kimaku? Njoo nikurefi kama unahisi nna 🍆 nyoko wewe!
Nyuzi zako zikikosa wateja unatafuta kick
Kwa nguvu! Umehangaika kule umekosa majibu unakuja kuanzishisha mada za kikuda! Wafate pm wakuanzishie na wewe kama unahisi kuna kitu wanapata! Wewe kuna mtu anakujua una jinsia ipi au shobo za kimaku? Njoo nikurefi kama unahisi nna
🙌🙌mbona seran umekuwa mkali sana
anything personal between you two ?
Nyuzi zako zikikosa wateja unatafuta kick
Kwa nguvu! Umehangaika kule umekosa majibu unakuja kuanzishisha mada za kikuda! Wafate pm wakuanzishie na wewe kama unahisi kuna kitu wanapata! Wewe kuna mtu anakujua una jinsia ipi au shobo za kimaku? Njoo nikurefi kama unahisi nna
U never know! 🤷🏽♀️mbona seran umekuwa mkali sana
anything personal between you two ?
Halafu ukikasirika hua unamwaga kingereza tu aisee,U never know! 🤷🏽♀️
Huyo mdogo wako selena anaelewa elewa bn!Halafu ukikasirika hua unamwaga kingereza tu aisee,
Au unataka sisi tusiokua na elimu tusielewe?
Huyo sio mdogo wangu,Huyo mdogo wako selena anaelewa elewa bn!