Kuweka nyeti hadharani

frankg

Member
Aug 14, 2012
25
1
mwanamke kuanika nyeti zake hadharani kama bidhaa ni ukosefu wa akili au ni sifa?

  • A%20S-baby.gif

Kwa mtazamo wangu ni upungufu wa akili..wanasema wapo kibiashara zaid
 
mwanamke kuanika nyeti zake hadharani kama bidhaa ni ukosefu wa akili au ni sifa?

  • A%20S-baby.gif

Hiki kitu nimekiona mara nyingi sana kwa hawa wadada wanaojiita masupa staa wa bongo, hasa waigizaji na waimbaji wa mziki. Sijui huwa wanawaza nini! Tabia hii binafsi naiona ni kama uchafu wa akili,kukosa heshima na kudharau jamii nzima iliyowazunguka, Kumbuka kuwa magazeti mengi yamekuwa yakiwapiga picha hizo na kuzianika ambapo wazazi, kaka na ndugu wa karibu hujikuta wanalazimika kuangali nyeti za mtoto au ndugu yao kitu ambacho nakitafsiri kama utovu mkubwa mno wa maadili ndani ya jamii.

Kwa kweli wajirekebishe wanatukera wengi.
 
ni kawida tu mwanamke mbona ukimbembeleza ukamuomba akuonyeshee mbunye yake atakuonyeshea tu.
 
Hiki kitu nimekiona mara nyingi sana kwa hawa wadada wanaojiita masupa staa wa bongo, hasa waigizaji na waimbaji wa mziki. Sijui huwa wanawaza nini! Tabia hii binafsi naiona ni kama uchafu wa akili,kukosa heshima na kudharau jamii nzima iliyowazunguka, Kumbuka kuwa magazeti mengi yamekuwa yakiwapiga picha hizo na kuzianika ambapo wazazi, kaka na ndugu wa karibu hujikuta wanalazimika kuangali nyeti za mtoto au ndugu yao kitu ambacho nakitafsiri kama utovu mkubwa mno wa maadili ndani ya jamii.

Kwa kweli wajirekebishe wanatukera wengi.

Nimeona sasa jinsi jamii yetu inavyokuwa influenced na uchizi wa lifestyle ya celebrities wa hollywood na wao bila hata kufikiri wanaona kila wafanyalo kina Kim K na wengine ndio it.
Hiyo trend ya kuanika nyeti iliwahi kuripotiwa kwa mastaa wa Hollywood kama Lindsay Lohan, Paris Hilton na Britney Spears. Its immoral na kwakweli ni disgusting na wa kulaumiwa ni haya magazeti yanayo entertain upuuzi huu.
 
Back
Top Bottom