Mkwawa vip naweza pata ya wasafitvyap na quality full HD au HD kawaida. kwa mechi za Uefa zikiwa zinachezwa ile saa 4 na dk 45 unatumia tu kifurushi cha usiku.
ila sasa hivi inachezwa saa 3 huwezi tumia, mpaka uwe na vifurushi maalum.
wana app?Mkwawa vip naweza pata ya wasafitv
Chief - Mkwawa hawa itv vip mbona link yao haipatikani tena? unaweza ukawa na msaada wowote?wana app?
official app inapiga kazi?Chief - Mkwawa hawa itv vip mbona link yao haipatikani tena? unaweza ukawa na msaada wowote?
File hilo lipo kama zip,
Utaliextract ndani utakuta file la bongotv.strm
Utafungua kodi, kwenye video ckick add file then utachagua folder ambalo hilo file la bongotv lipo mfano lipo downloads/bongotv chagua hilo kisha click ok,
Ukiingia kwenye kodi nenda videos kisha utaona folder lile ulilochagua, ukiingia utaona tv zako zote.
Kama njia hii ni ngumu nitajaribu kueka playlist ya mxplayer au lazyiptv
App ya TTCL zilikuwepo, ila ni paid appmkuu leo nimeona kwa jamaa ktk server yake ana chanel
star tv
ch 10
hata sijui kazitoa vipi!
App ya TTCL zilikuwepo, ila ni paid app
Unajiunga kwa mfumo wa vifurushi na line ya TTCL, hio server ipo accessed hata ukiwa nje ya Tanzania? Unaweza nipa link yake?hebu hakikisha kama zipo mkuu mie nazitaka na bei gani
Unajiunga kwa mfumo wa vifurushi na line ya TTCL, hio server ipo accessed hata ukiwa nje ya Tanzania? Unaweza nipa link yake?
Ya server yenye hizo chanell naweza fahamu alipozitoa.nisaidie nipe link--- ww unataka link ipi?
Tumia poa tvChief - Mkwawa hawa itv vip mbona link yao haipatikani tena? unaweza ukawa na msaada wowote?
Mkuu naona hizi zote hazifany kazi sasahv vp unazo m3u updated nsaidie kuzi drop pmazam one
http://azamone.azam-media.com/Tazamone/smil:Tazamone.smil/chunklist_w1932090407_b214000_slen.m3u8
mkitest mlete feedback, maana naona azam kakaza sana.
update azam two
http://azamone.azam-media.com/Tazamtwo/smil:Tazamtwo.smil/chunklist_w542132341_b214000_slen.m3u8
update azam sport HD
http://azamone.azam-media.com/Tsports/smil:Tsports.smil/chunklist_w1344764352_b214000_slen.m3u8
update azam sport 2
http://azamone.azam-media.com/Tsports2/smil:Tsports2.smil/chunklist_w1481388720_b214000_slen.m3u8
update ZBC 2
http://azamone.azam-media.com/Tzbc2/smil:Tzbc2.smil/chunklist_w1521456131_b214000_slen.m3u8
Aweke hapa hapa tu nasie tunazihitaji pia... [emoji16][emoji16]Mkuu naona hizi zote hazifany kazi sasahv vp unazo m3u updated nsaidie kuzi drop pm
sorry mkuu, hizo vifaa zinatumika kwa matumizi ganianaehitaji IPTV boxes nnazo bei ni laki na ishirini.zipo Dar
Wewe tapeli tayari ushachungulia fursa na huku?DSTV, AZAM, STRATIMES Wale wapenzi wa Streaming iwe ni kwenye simu yako au kwenye Pc nina App hizo tatu ambazo tayari zimekwisha lipiwa. Utakapobahatika kuzipata hutolipia chochote kile. Zote hizo ntakutumia kwa 10k tu. Ukitaka moja wapo ni 5k. Bei ni maelewano njoo nikutumie uburudike. Pia kwa wale wanaotumia android box naonganisha Dstv kwa mwaka mzima kwa 20k tu. Pia kwa wale wanaotumia SmartTv naonganisha kwa waka pia kwa 20k tu.