Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,350
- 3,312
Mkuu kwenye USA network wanaonesha 8:00pm EST, but nimejaribu kuconvert kwa masaa yetu ila majibu hayanirizishi..unaifahamu app ya mobdro? wana chanell nyingi.
pitia hii link
List of Current WWE programs
hio ni list ya chanell inayoonyesha wwe live.
mfano kwa marekani ni usa network
unaenda mobdro unaisearch hio chanell. nimeisearch mimi ipo, unasubiria muda wa pambano unaangalia.
umepaste link moja kama ya ITV? au ume open playlist? jaribu link moja kwanza.Mkuu mkwawa nimedownload mxplayer nimepita hatua zote mwisho napata Majibu hatua ;the link can't play sasa sijui shida iko wapi
saa 9 usiku ya huku kwetu. maana pambano la saa 4 usiku marekani sisi tunadamka saa 11 alfajiri.Mkuu kwenye USA network wanaonesha 8:00pm EST, but nimejaribu kuconvert kwa masaa yetu ila majibu hayanirizishi..
Naomba nisaidie hayo Masaa kwa huku bongo ni saa ngapi??
jaribu hiiMkuu unaweza ongezea link ya sinema zetu
Asante mkuu inapiga jazi
app yao ipo offline.Shukrani sana chief mkwawa...clouds tv yenyewe vipi?
Chief samahani nawezaje kupata link ya UBC ile channel inayoonyesha uefa siku ya jumatano kwenye kung'amuzi cha azam? samahani kwa usumbufu kiongozi wangu...!!!app yao ipo offline.
chanell za uganda kwenye app ya azam ni NTV na NBS.Chief samahani nawezaje kupata link ya UBC ile channel inayoonyesha uefa siku ya jumatano kwenye kung'amuzi cha azam? samahani kwa usumbufu kiongozi wangu...!!!
okay mkuu, but kama itawezekana naomba nisaidie tu link ya UEFA mkuuchanell za uganda kwenye app ya azam ni NTV na NBS.
umejaribu kwa mobdro imeshindikana?okay mkuu, but kama itawezekana naomba nisaidie tu link ya UEFA mkuu
mobdro mkuu si hadi niwe na bluestack kwa upande wa pc?umejaribu kwa mobdro imeshindikana?
mobdro si hadi niwe na bluestack mkuu kwa upande wa pc?umejaribu kwa mobdro imeshindikana?
Redbox tvChief-Mkwawa
Kama Kuna app ya kuangalia mpira live tofauti na mobdro naomba kupata hiyo app
Poa mkuuRedbox tv
anaehitaji IPTV boxes nnazo bei ni laki na ishirini.zipo Dar1. nenda playstore halafu search mx player then download
2. fungua app yako juu kulia utaona dots tatu halafu chagua network stream
3. paste hii link kwenye hilo box
http://pyv1ony2.motaso.com:1935/live/_definst_/itv_360p/playlist.m3u8
then click ok
utaona itv inaplay, hapo tayari utaenjoy tv kwa internet.
yap na quality full HD au HD kawaida. kwa mechi za Uefa zikiwa zinachezwa ile saa 4 na dk 45 unatumia tu kifurushi cha usiku.5GB??? Per match!!