Abdul Bilal
Member
- Jul 29, 2017
- 88
- 15
Ebana habari zenu wakuu, mm natumia reviever ya Media Star 10000 ferrari, sasa naona kuna hili jambo la ku install free Iptv linanisumbua sana. So kama kuna maujuzi basi tusaidiane wakuu.
Naam chief nipo connected kabisa.....ngoja nikuketee menu nzima ya hizo vitu ambazo zinakuja nikiingia katika setting zakekuna sehemu ya kueka url? au hapo ukiambiwa install huwa inadai nini? upo connected na internet kwenye hio receiver yako?
Yani unataka uitumie katika simu?Kama kuna mtu anaweza kunielewesha jinsi ya kuweka IPTV ...nina Samsung tablet.
1. nenda playstore halafu search mx player then downloadKama kuna mtu anaweza kunielewesha jinsi ya kuweka IPTV ...nina Samsung tablet.
Kuna channel ngapi hapa1. nenda playstore halafu search mx player then download
2. fungua app yako juu kulia utaona dots tatu halafu chagua network stream
3. paste hii link kwenye hilo box
http://pyv1ony2.motaso.com:1935/live/_definst_/itv_360p/playlist.m3u8
then click ok
utaona itv inaplay, hapo tayari utaenjoy tv kwa internet.
ni itv tu, umejaribu na receiver pia?Kuna channel ngapi hapa
Maana naona imekuja ITV tu
No sijaitest katika tvni itv tu, umejaribu na receiver pia?
1. nenda playstore halafu search mx player then download
2. fungua app yako juu kulia utaona dots tatu halafu chagua network stream
3. paste hii link kwenye hilo box
http://pyv1ony2.motaso.com:1935/live/_definst_/itv_360p/playlist.m3u8
then click ok
utaona itv inaplay, hapo tayari utaenjoy tv kwa internet.
azam oneIla kama una link za hivi za channel nyingine pia niwekee plz Chief
azam one
http://azamone.azam-media.com/Tazamone/smil:Tazamone.smil/chunklist_w1932090407_b214000_slen.m3u8
mkitest mlete feedback, maana naona azam kakaza sana.
update azam two
http://azamone.azam-media.com/Tazamtwo/smil:Tazamtwo.smil/chunklist_w542132341_b214000_slen.m3u8
update azam sport HD
http://azamone.azam-media.com/Tsports/smil:Tsports.smil/chunklist_w1344764352_b214000_slen.m3u8
update azam sport 2
http://azamone.azam-media.com/Tsports2/smil:Tsports2.smil/chunklist_w1481388720_b214000_slen.m3u8
update ZBC 2
http://azamone.azam-media.com/Tzbc2/smil:Tzbc2.smil/chunklist_w1521456131_b214000_slen.m3u8
nafkiri link zote unaweza zieka zikawa link moja kama playlist, tumia file manager kama es file explorer kisha tengeneza text file kisha paste hizo links kisha save then extension iwe .m3u8Naweza kuzi save vipi kwenye mx player kwenye android tv box. Naomba
Maelekezo
nafkiri link zote unaweza zieka zikawa link moja kama playlist, tumia file manager kama es file explorer kisha tengeneza text file kisha paste hizo links kisha save then extension iwe .m3u8
pia unaweza tumia lazyiptv kwa android
ila kama una box jifunze kueka kodi na kuadd chanell mwenyewe, kodi ni nzuri sana kwa tv.[/QUOT
KODI ninayo kwenye amazon fire tv stick. Ahsante
Mkuu Fanya mpango link za east TV, start TV na channel tenazam one
http://azamone.azam-media.com/Tazamone/smil:Tazamone.smil/chunklist_w1932090407_b214000_slen.m3u8
mkitest mlete feedback, maana naona azam kakaza sana.
update azam two
http://azamone.azam-media.com/Tazamtwo/smil:Tazamtwo.smil/chunklist_w542132341_b214000_slen.m3u8
update azam sport HD
http://azamone.azam-media.com/Tsports/smil:Tsports.smil/chunklist_w1344764352_b214000_slen.m3u8
update azam sport 2
http://azamone.azam-media.com/Tsports2/smil:Tsports2.smil/chunklist_w1481388720_b214000_slen.m3u8
update ZBC 2
http://azamone.azam-media.com/Tzbc2/smil:Tzbc2.smil/chunklist_w1521456131_b214000_slen.m3u8
umeiekaje?Hiyo Itv link ina kataa ukiitia kwenye KODI