Jana kwenye TV walionyesha something to do with EPZ na kwamba wameshaanza kuwapa wafanyabiashara maeneo/leseni za kuwekeza...........angeona Lusekelo sijui angesemaje - wote walikuwa wahindi na waarabu, hakuna hata mzawa mmoja!!
On another note: baada ya kutaifisha vyanzo vya ubepari Tanzania, wazawa wengi got caught up in the utopian politics of those times, tukajiingiza kwenye ujamaa na kujitegemea, rudini vijijini, vijiji vya ujamaa, unyonyaji ni unyama (hata mirija ya kunywea soda ilipigwa marufuku!) and all the good stuff those times, etc lakini wale walionyang'anywa mali zao, hususan wahindi, waliendelea na biashara/commerce chinichini.
Loh and behold, when siasa za Rukhsa! came along, who was standing up straight in business? Wadosi! Who was able to make things happen for them and facilitate majambo mengimengi? Viongozi wazawa wale wenye vyeo vya juu kama mawaziri, wakuu wa mikoa etc! Hivi isn't it obvious that these two groups suddenly became rich beyond compare?
Swali lingine linakuja: Nini kifanyike? Solutions mbili zimeonyesha kufanikiwa kiasi depending on who you speek with. Moja ni ile ya Sauzi ya BEE, na nyingine ni ile ya Small Business Association (SBA) ya USA. Kama alivyosema Recta hapo juu kuwa makampuni mengi ya wazawa hayawezi compete na makampuni ya wadosi au wazungu - kubid kutengeneza an accounting system ya Tz Ports Authority, for example, a bidding company will need to put an untouchable bid security of $82,000! Makampuni yetu mangapi yataweza hii? But if there is a BEE or an SBA of some kind then banks could chip in if I, a mzawa, come to them with a guaranteed bid that I won but don't have the funds to go ahead with a project. The SBA in the USA guarantees that some contracts are to go solely to minority owned firms (even though sometimes white women get them simply because women are in the minority of businesses in the USA) Mfano hapa kwetu, kama Estim atajenga ghorofa basi atakayefanya wiring awe ni mnyalukolo mmoja mwenye kampuni yake iliyosajiliwa kihalali; kampuni ya usafi iwe ya halali ya yule mzawa mwenye kampuni inayofanya kazi hiyo; etc etc.
Sasa itakuwa vipi kama "mzawa" ni mzaliwa wa Tanzania lakini ni mdosi au mgiriki? Yeye ni mzawa kweli au udosi/ugiriki wake unamtoa kwenye uzawa? Maswala kama haya ndio yanayoweza kuonyesha mgawanyo wa matabaka ya rangi - bado ni ubaguzi ambalo lipo on a thin line love and hate.
My two cents......