Kuwawezesha wabongo weusi! - Wazo hatari?

Wakulu
UZAWA HAUKO RELATED NA RANGI.
Kwamba Mweusi ndiyo Mzawa,hapana hata Mzungu,Mhindi na Warabu wanaweza kuwa wazawa.

Mzawa ni yule ALIYEZALIWA KWENYE ENEO/NCHI HUSIKA.

Kuna dhana ya pili ya "UZANEA"

MZANEA ni YULE MWENYE ASILI YA VIZAZI ZAIDI YA VIWILI.Here is where unawaza kumweka Msukuma,Mgogo.Mnyakyusa,Mchaga na wengine kama hao.

So,tujadili tukiwa tunatofautisha DHANA HIZI MBILI.

MZANEA na MZAWA.
 
Back
Top Bottom