Biashara na mahusiano

m-boy

Senior Member
Aug 20, 2023
147
477
Habari wanaharakati.

Mara nyingi nikiwaambia watu biashara na mahusino vitu vinakaa meza moja huwa naeleweka tofauti kabisaa, na kama nikimwambia kauli hii mwanamke anahisi huwenda ninataka kumnunua au ninahisi yeye anajiuza,

Lkn kauli hii nikimwambia mwanamme anaishia kucheka na kunibeza tu.

Ipo hivi ikiwa unafanya biashara yako na imesimama vizuli kabisa naomba nikuulize jambo moja tu.

Hii ni biashara yako ya ngapi kuiyanzisha??

Je, nyingine ziko wapi??

Je, ulifanyaje pale biashara yako ilipokufa mikononi mwako.

Hapa napanda utambue ili ufikie shabaha ya biashara yako kuna magumu mengi unapitia , kukatishwa tamaa na ndugu majirani jamaa na marafiki,

Kuna kufa biashara kwa watu kukufanyia figisu ,
kufa biashara kwa mazingira ulianzisha sio rafiki,
lkn kufa biashara kutokana na mtaji mdogo.
Lkn biashara moja ikifa utakaa na kujifunza makosa unaweza ukaenda kuanzisha ile ile au kufungua biashara mpyaa na maisha yakasonga, .

Miaka fulani nilifanya biahara ya kununua mbuzi huko mikoani na kuja kuuza dar , nakiki ile biashara ni ngumu hasa upande wangu kwa sababu wakati ninafanya biashara ya vitunguu miaka mingi iliopita sikuwa na changamoto kama hii ya mbuzi, vitunguu ukishapakia kwenya gali unalala mpaka mwisho wa safali,

Mbuzi ukashapatia itabidi uwachunge wasikanyagane kwaaana ikitokea hivyo kuna hatari kubwa ya mbuzi kufa, kuna safali moja mtu mmoja aliuwa kondoo 5 kwa safali moja. Ilikuwa hasara kubwa sana . Niliamua kuiyacha ile biashara maan ukifika sokoni unatakiwa uwalinde mbuzi wako wasiibiwe..

Baishara zina changamoto nyingi sana na usione mtu amesimama ktk biashara ukaona ni rahisi anapitia changamoto nyingi hakuna maelezo lkn ili ushinde unatakiwa kupambana sana, unatakiwa uzibe masikio kwa wanaokukatisha tamaa ikibidi waweke mbali nawe, ..

Hivi kabla ya hapo ulipo ushapitia mahusiano mangapi??

Ushasalitiwa na yule ulikuwa unamuhudumia kwa kila kitu,

Ushachukuliwa mumeo na rafiki yako wa karibu kabisaa mpaka unashindwa kuamini kama ni kweli??

Ushaletewa habari za mkeo kufanya uchafu eitha kazini kwao au unapokuwa safalin hayo yooote uliopitia lkn bado upo kwenye mahusuano haijalishi na yule au m tu mwingine,

Unapokuwa ktk mahusiano hususani ndoa ikitokea imevunjika usikate tamaa ktk maisha yako kuna watu wa muhimu ambao ukiwapoteza hawarudi tena kwako.

Kuna baba mama, kaka ,dada shangazi watoto nk,

Lkn mke au mume akiondoka una nafasai ya kupata mwingine bora zaidi yake japo kuna maumivu fulani utayapitia,

Mahusia yakivunjia tuliza akili yako , angalia nani alikosea mpaka ikafika hivvi,

Nilizungumza na dada mmoja alikili kweli yeye ndio chanzo cha ndoa yake kuvunjia kwa sababu hakutaka kumsikiliza mumewe kwa changaoto wanayopitia akaamua kuondoka..

Lkn nilizungumza na mwanamme mmoja akaniambia yeye ndio chanzo cha ndoa yake kuvunjika kwa maana alikuwa hampi pesa mke wake zaidi ya kununua chakula nk.

Yote ya haukuna sehemu ngumu kwenye mapenzi kama kumpenda mtu ambaea hajali owepo wako , haonyeshi kama unamuhitaji, salam zako hajibu. Na wala hasikii kile uchamwambia, inaumiza sana najua wengi wamepitia hili ila wengine ndio wanalipitia sasa,

Bishara ikifa japnde ufunge nyingie

Mahusiano yakifa jipange upate wa kufunga nae ndoa
 
Back
Top Bottom