Kuwaweka Karibu sana ndg na marafiki kunaharibu mahusiano na ndoa nyingi

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
726
1,850
Ndoa nyingi zinavunjika hazifiki mbali kwasababu ya kukaribisha ndg majumbani na kuwaweka karibu sana marafiki . urafiki na undugu uwe na mipaka sio wajue hadi mambo ya familia yako hata baba yako na Mama yako kuna mambo mengine hawatakiwi kuyajua.kuoa ni utu uzima sio unatumia mawazo ya wazazi wako kuendesha familia yako.
 
Tulio oa tumekuelewa
 
Ukweli mchungu
 
Umeandika vema mkuu, urafiki na undugu vinatakiwa viwe na mipaka kwenye ndoa, bahati mbaya baadhi ya wanandoa hubeba changamoto za ndoa zao na kuzimwaga kwa marafiki au ndugu. Hii haiwaachi salama!
 
Back
Top Bottom