Boss,wanawake wana intuition ni balaaa,wengi (actualy karibia wote) ukimdanganya anakuangalia tu lakini rohoni anajua unamfunga kamba.Kwa hiyo hata ukimtokea mdada wengi huwa wanajua hata kabla hujamtamkia neno.Umri? Well the older the wine of course the better.
ulichoongea kimenigusa
chukulia kuna mdada mtu mzima ambae huwa unmtazama na kumtamani
halafu ghafla amekutafuta kwa ishu nyingine,labda kakupigia simu na wewe hukuwahi kumpa hiyo namba
je hapo maana yake keshakusoma na anakupa urahisi au?
Huu ni ukweli Boss wengi tuna hiyo kitu mtu akiwa anakuja mbele yako hata hajakuambia jambo unaweza kuhisi alitaka kukuambia nini au aliwaza jambo gani juu yako hata pale mnapotudanganya huwa tunajua sema tu mara nyingi huwa tunaamua kupotezea.
ndo maana nikauliza hapo
mfano ni wewe,kila siku nakutazama kwa matamanio
je utajua?na kama jibu unajua,ikitokea kwa mfano
nakuta sms yako ya kawaida tu kwenye simu..
ina maana ndo umefungua mlango?
ndio maana yake,anakutengenezea mazingira ya kupata ukweli wa kile alichokihisi lakini mara nyingi ukiona hayo ujue kuna mambo yanayomvuta kwako ............wengi wetu baada ya kuhisi kama ni mtu ambae hajafanana na vigezo vya mhusika hawezi mpa hata nafasi ya kumzoea.
ulichoongea kimenigusa
chukulia kuna mdada mtu mzima ambae huwa unmtazama na kumtamani
halafu ghafla amekutafuta kwa ishu nyingine,labda kakupigia simu na wewe hukuwahi kumpa hiyo namba
je hapo maana yake keshakusoma na anakupa urahisi au?
not necessarily awe anakutafutia urahisi. kuna wanawake they just like flirting, ama they just like company. kuna friends ambao mwanamke ana-flirt nao for a while lakini beyond that anakua anaongea nao issues za maana. dont mistaken friendship ama softness ya mwanamke with kukutaka,u will be embarrassed! kuna watu wana macho tu ya wizi naturally,unaweza dhani ni bode lengueji kumbe wala!
ndio maana yake,anakutengenezea mazingira ya kupata ukweli wa kile alichokihisi lakini mara nyingi ukiona hayo ujue kuna mambo yanayomvuta kwako ............wengi wetu baada ya kuhisi kama ni mtu ambae hajafanana na vigezo vya mhusika hawezi mpa hata nafasi ya kumzoea.
ulichoongea kimenigusa
chukulia kuna mdada mtu mzima ambae huwa unmtazama na kumtamani
halafu ghafla amekutafuta kwa ishu nyingine,labda kakupigia simu na wewe hukuwahi kumpa hiyo namba
je hapo maana yake keshakusoma na anakupa urahisi au?
yaaani,but what if hakuna mazoea kabisa...
ni salaaam tu,but macho yanasema kila kitu
Mi nikimtamani mwanamke atajua tu! Coz kila nikimuona macho yangu siyabandui kifuani au hapo kwenye mashine yake! Na nikipishana nae lazima nimgeukie nitizame plate number!
the boss.. Kama unamzimia huyo mdada jilipue tuu,ukikataliwa si basi ndio uanaume huo....haitaji kuwa 35 ndio mwanamke aweze kujua kama mwanaume anakutaka au la. Itabidi nianze reseach ili nikifika 35 nijue kama hako ka intuition kameongezeka au laa....
ndo nakuambia kuna watu wana big beautiful eyes,lol! Ni kama mkaka ambae yuko kind, good physique etc. Ni kumuonea kudhani anakuzimikia,right? Afu unajua kuna watu kukodolea macho watu ni kawaida yake? Well, ukiingiza utani unaweza ukaishia kwenye niangusage, sambi sako! So nadhani ni vizuri kuongea zaidi na utamsoma tu mwelekeo wa mawazo yake
what if huyo mtu hana mazoea kabisa na watu watu
but kwangu tu ndo anakuwa a bit social?
hahaha,ww umepania kujilipua! Angalia usije ukaangukia pua,lol! Inawezekana hana mazoea na watu kwa kile chauro ameongelea,'kuvutiwa'. Jiweke karibu, piga nae stori za future, get to know her uone mtafika wapi. Ukimchokoza once in a while unaweza kuona kama kuna ka-yellow light ili ikiwaka reen tu unajilipua mzima,lol! Dont listen to me,im crazy