Kuwashwa sehemu za siri baada ya tendo

SAMORE

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
389
517
Habari zenu wakuu! Nahitaji mawazo yenu mke wangu amekua na tatzo la kuwashwa kila baada ya kumaliza tendo.Hali hii inapelekea mwenzangu kunihisi nimechepuka kitendo ambacho kinachoniumiza ndoa yang ipo mashakani.naombeni msaada wenu wa mawazo
 
Hao itakuwa ni bakteria mbalimbali wahini hospitali
 
Habari zenu wakuu! Nahitaji mawazo yenu mke wangu amekua na tatzo la kuwashwa kila baada ya kumaliza tendo.Hali hii inapelekea mwenzangu kunihisi nimechepuka kitendo ambacho kinachoniumiza ndoa yang ipo mashakani.naombeni msaada wenu wa mawazo
Ana fungus huyo.... Anakulaumu wewe yaani wewe ndio umemletea muwasho?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom