Kuwashwa sehemu za siri baada ya tendo

Kuwashwa sehemu za siri baada ya tendo

SAMORE

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
412
Reaction score
598
Habari zenu wakuu! Nahitaji mawazo yenu mke wangu amekua na tatzo la kuwashwa kila baada ya kumaliza tendo.Hali hii inapelekea mwenzangu kunihisi nimechepuka kitendo ambacho kinachoniumiza ndoa yang ipo mashakani.naombeni msaada wenu wa mawazo
 
Hao itakuwa ni bakteria mbalimbali wahini hospitali
 
Inawezekana ni tatizo la fungus tu, mpate tiba wote wawili.
 
Labda fungus aende kwa Gynecologist kwa uchunguzi zaidi
 
Hiyo itakuwa fungus na fangus siyo ugonjwa wa zinaa.
 
Habari zenu wakuu! Nahitaji mawazo yenu mke wangu amekua na tatzo la kuwashwa kila baada ya kumaliza tendo.Hali hii inapelekea mwenzangu kunihisi nimechepuka kitendo ambacho kinachoniumiza ndoa yang ipo mashakani.naombeni msaada wenu wa mawazo
Ana fungus huyo.... Anakulaumu wewe yaani wewe ndio umemletea muwasho?!
 
Back
Top Bottom