Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 2,975
- 7,451
😬😬, kwamba MA-sultans wanataka kuludishwa!!Huenda serikal inataka kutuhamisha kijanja waarabu wapewe jiji
😬😬, kwamba MA-sultans wanataka kuludishwa!!Huenda serikal inataka kutuhamisha kijanja waarabu wapewe jiji
Maji ya kwenye chupa kama Uhai, Hill na Kilimanjaro ni salama kwa afya?Mna uhakika maji ya bomba mnayokunywa ni salama?
Wengi wenu ni vipofu nyie, mtaanza kusema kuna VIRUS yuko angani anawabutua watoto na kuwatumbua mapele. 🤣
Angalieni maji ya bomba hayo kama hayajatiwa madawa fulani. Au chakula wanachokula.
Hakuna cha jotro wala nini. Jotro lipo miaka yote.
Kumbe hadi huko mikoa ya bariSiyo sababu mi naona anga tu limechafuka....huku mbeya ndiyo wameharibika mno....wanaambia ni allergy
Inasikitisha Sana,tusubir mamlaka tuoneUkurutu balaa,ni Kama hawaogi kumbe ni mwili umeharibiwa na kujikuna
Nafikiri nimekuelewa, wiki mbili zilizopita nilikua Dar, nikapata rushes sana mpaka usoni, ila nimeondoka naona zinaisha na baadhi ya sehemu nilipata muwasho pia vyote vinaisha..mikoa mingi, hali ya hewa ni rafiki sana.Hizo ni Rashes za joto na unyevunyevu
(Hot and Humid weather). Zingatia kuoga kwa dettol mara mbili kwa usiku
Lipo had kwa watu wazimaNimeona kwa mdogo wangu kumbe ni tatizo limepata watu wengi. Sijaona kwingineko
Salaam wakuu.
Siku za hivi karibuni nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa Dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili.
Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima. Hivyo nauliza, huu ni ugonjwa wa kawaida au Kuna tatizo lipo? Nauliza na nini cha kufanya ikiwa utapata shida Kama hiyo?
Kacheki FBPSalaam wakuu.
Siku za hivi karibuni nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa Dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili.
Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima. Hivyo nauliza, huu ni ugonjwa wa kawaida au Kuna tatizo lipo? Nauliza na nini cha kufanya ikiwa utapata shida Kama hiyo?
Mm ni mgeni mkuu, sio mwenyeji wa DarWewe ni mgeni Dar?
Ni hali ya joto kali nyakati za usiku na kutokwa jasho kwa wingi ndio husababisha hivyo vipele vyenye kuwasha
Ila dar mna magonjwa ya ajabu ajabu.
Mapigo saba huenda Mungu amemkataa mfalmeIla dar mna magonjwa ya ajabu ajabu.
Sasa Mungu huyo kwanini asimpige mfalme tuMapigo saba huenda Mungu amemkataa mfalme
UgonileSiyo sababu mi naona anga tu limechafuka....huku mbeya ndiyo wameharibika mno....wanaambia ni allergy
Kumbe hili joto na vipele anasababisha huyu bibi??Joto Kali na ukosefu wa maji ni janga kwa Dar es salaam kama huyu bibi akigombea 2025 na akashinda tuna miaka mitano Tena ya kutaabika kwa kuwashwa miili
Taifa likilaaniwa wote tunaipataSasa Mungu huyo kwanini asimpige mfalme tu
Kwanini atuhusishe na sie wengine.
Tusubir wataalamKuna uwezekano mkubwa ni measles/surua.
Dogo alipata vipele vya aina hiyo wiki iliyopita, vikawa vinamletea homa. Kwenda hospital akaambiwa amepata measles, japo hakuwa na dalili nyingine ambazo huambatana nayo.
Ughonile kalumbuUgonile