Wadau wote mlio wahi tembelea teacher'junction Mbeya na wote mlio tapeliwa pale mbeya kwa kutoa Pesa na,vyeti,cv kujiandikisha pale kwaajili ya kuunganishwa na waajiri shule mbali mbali zoezi hilo halikufanyika na majibu yake MAKAO MAKUU WANADAI WAMEFUNGA TAWI NA MAAFISA WAO WALIO LAGHAI WATU ETI WALIKUA NI BATILI. hawaelezi nini watatufidia na mda mrefu kidogo hawapokei simu .................najiandaa kupeleka shauri la jinai/madai kwenye vyombo vya sheria kwa kukusanya pesa zetu kitapeli bila hata kutuunganisha na waajiri,hata usaili mmoja kufanyika. wametudanganya na wamekula pesa zetu ovyo ni kosa la jinai tafadhali sana wote victims wa sakata ni pm kama utakua na kielelezo tafadhali ni pm