Kuwalisha njiwa nini siri yake

Kuwalisha njiwa nini siri yake

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,084
Reaction score
14,564
Niliona upanga dar magari ya wahindi na waarabu wanaenda pale kwenye njiwa wanarusha mtama wengi sana nikajisemea labda ni mapenzi tu.

Wiki ilopita nikaenda zanzibar pale darajan nilikuta watu si chini ya 30+ nilohesabu wakitupa mtama .uwele na mchele wa kabila na rangi zote mbaya zaidi akaja na mkuu wa mkoa sikujua wa wap ila alikuwa na bodigadi kawapa mtama kama kilo 4 hivi .
Ila safari hii niliweza kuwa karibu niliona kuna maneno wanaongea

Magari ya maana ya waarabu wanashuka familia na watoto mchana na sio weekend wanawarushia
 
The only
Hapan hmna kitu cha ajabu.

Ni moja ya njia ianyoweza kufanya relaxation na kupambana na msongo

Pale ambapo mbongo amekimbia kutafuta malaya apunguze msongo mhindi yeye anakimbilia pale ku-relax akili yake ndio maana tunaona ajabu sisi waafrika.

Ndio maan mimi kwangu napambana na gardening, lakin mwingine atakuambia ni mambo ya kike, ila ikifika jioni anaenda kutmba demu kwa shiling 50k ili apunguze stress
 
Yaani uache kuuliza hapo unapowaona hao watu uje uulize huku
So wanaoandika kuuliza mapenzi humu mtaani kwao hakuna watu? Wanaouliza siasa hawana namba za wanasiasa? Wanaouliza mambo ya uislamu huwa hawaishi mtaa mmoja na mashekh??unaona mazingira ya shobo sio au una sababu kama huna jibu unachuna
 
The only
Hapan hmna kitu cha ajabu.

Ni moja ya njia ianyoweza kufanya relaxation na kupambana na msongo

Pale ambapo mbongo amekimbia kutafuta malaya apunguze msongo mhindi yeye anakimbilia pale ku-relax akili yake ndio maana tunaona ajabu sisi waafrika.

Ndio maan mimi kwangu napambana na gardening, lakin mwingine atakuambia ni mambo ya kike, ila ikifika jioni anaenda kutmba demu kwa shiling 50k ili apunguze stress
Umenijibu vyema sana hii mimi ndo huwa sababu yangu lakin tusubiri wajuzi zaidi maana kuna maneno wanaongea kama sala ndo maana nimeshindwa wahoji direct
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom