Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Kuendelea kufungua, thread zinazo wahusu wachafuzi wa CC ni sawa na kuwapa vichwa na kujiona kama wana nguvu ya kusumbua na CC, dawa ni ndogo, ni ku asume tu kama hawapo hao watu bhaasii watasepa wenyewe.
We nawe vp? Mbona umefungua thread ya kuwajadili? Pole sana kwa Ban. Try to behave. Ndani ya wiki 1 ID zako 2 zmepgwa ban..
Naona kama hujaeleweka labda ufafanue unacholenga.Kuendelea kufungua, thread zinazo wahusu wachafuzi wa CC ni sawa na kuwapa vichwa na kujiona kama wana nguvu ya kusumbua na CC, dawa ni ndogo, ni ku asume tu kama hawapo hao watu bhaasii watasepa wenyewe.
Mh.. mbona povu??? May b hujamuelewa. Anamaanisha kuview thread zao na kucomment!
Amesema kuwajadili haisaidii. Na ameweka post inayowajadili. Au wewe hujamuelewa?
Na nyie kama mmeilewa kwanini mnajadili? Uwenda mwenzenu kaweka bandiko . Nyie mmeamu kuchangia
We nawe vp? Mbona umefungua thread ya kuwajadili? Pole sana kwa Ban. Try to behave. Ndani ya wiki 1 ID zako 2 zmepgwa ban..