MTM kuna rafiki yangu wa karibu sana hata kama anasoma hapa atagonga thanks. Alimgusia mkewe wakafanye DNA kwa vile mtoto katoka very black na the head is too big, na masikio makubwa wakati jamaa ni mweupee na mke wake mweupe, alimnunia kama siku 2 analia tu na hata hakula mchungaji ndio aliyemaliza ugomvi kwa kumwaambia "AMINI TU NI WAKO"
Usifanye DNA kama yafuatayo yamewahi kutokea kwako.
1. Kusafiri hata kwa wiki 1
2. Kama una house boy
3. Kama mkeo yuko serikalini/bandarini na amewahi kusafiri/kufanya kazi za shifti.
4. kama ni mwanakwaya(hapa ndio kuna utata na kuna hitaji thread)
5.................
6..................
Hahaha! Adhawais yanaweza tokea mashambulio katika moyo nikaresti in piis?
Usifanye DNA kama yafuatayo yamewahi kutokea kwako.
1. Kusafiri hata kwa wiki 1
2. Kama una house boy
3. Kama mkeo yuko serikalini/bandarini na amewahi kusafiri/kufanya kazi za shifti.
4. kama ni mwanakwaya(hapa ndio kuna utata na kuna hitaji thread)
5.................
6..................
Nguli namba 4 sijaipata vizuri....kama hutojali nifafanulie kiduchu
Nguli namba 4 sijaipata vizuri....kama hutojali nifafanulie kiduchu
Ukipima DNA maana yake humuamini mkeo.
Kama humuamini hata mkeo, what's the point of marriage?
Lakini ukweli unabaki kwamba huwezi kumuamini mtu yeyote.
The logical conclusion is that mariage is overrated.
Ndiyo maana nasema "hakuna kuoa".Kama waliooana hawaaminiani, nioe ili iweje?
Inaonekana wewe sio muumini mzuri wanakwaya wanaimbaga nyimbo zao za kusifu Mungu na mapambio wakimaliza wanasifiana wao na kupambiana...unakuta kwaya imeenda nairobi kutoa neno la Mungu wewe baba uko ndani unasema mke wangu mcha Mungu kweli.
Na usisahau wachungaji wanajua kutongoza sana na mapadre wanaombaga hadi wanalia,na baadhi yao hata kwa kuangalia tu mkeo anawapa kwa vile wanaamini watapata baraka au upako.....
Bro mambo vipi? leo umetumia luga ambayo naweza kucomment.
Mtiriko wa point mzuri ila hapo kwenye red kuna utata.
hahaaaa jamani lol!! umenihekesha sana, naenda kutafakuri je niache kwaya au lah!!!
hahaaaa jamani lol!! umenihekesha sana, naenda kutafakuri je niache kwaya au lah!!!
Bro mambo vipi? leo umetumia luga ambayo naweza kucomment.
Mtiriko wa point mzuri ila hapo kwenye red kuna utata.
how did you take this Sir?Cha kushngaza, wanawake woote waliokuwa pale (including tibaigana wangu) walipinga DNA tena kwa hasira kabisa na hasa wakisisitizia kwamba kupima DNA ni kumfanya mkeo kuwa si muaminifu
Hawa watu wanaitwa wanakwaya we waache tu! Mi wafu ni heri awe baamedi kuliko mwanakwaya! Wanatafunana hawa watu kama hawana akili timamu. Nilikuwa nabisha kipindi cha nyuma. Nikaamua kujiunga na kwaya kwa ajili ya kuiboresha sauti ya nne kwenye kwaya! LOL! Mi mwenyewe nakumbuka nilimegana na wanne kabla sijajua kati ya hao wa4 watatu walikuwa wanamegwa na kwaya masta na huyo mmoja nilikuwa nashea na mpiga kinanda! Hahaha! Nikaamua kuacha kwaya wansi and fo ol. Na waifu ambaye naye nilimpatia kwenye hiyo kwaya naye nikampiga ban (sore, waifu hakumegwa na mtu pale: Sitaki comments)
Mbona hujamkatia haki yake ya SENKSI. Mi nimemtwanga kwa kumuelewa kwa mara ya kwanza!
Yaani hakuna mtu hajwahi kuyafanya moja wa hiyo list yako.... kaazi ipo sana basi..... kwani huko bandarini wanaClear bidhaa wakifanya nini? LOL
mwanakwaya??? kanisani????? eh ama watu wa kesha eh?/
MTM< nimeipenda mada yako kaka yangu.
Well sijui ni mimi peke yangu au la huwa ninaumia sana pale mwenzangu anapoonyesha dalili za kutokuniamini. Kuhusu suala la DNA test huwa linanijia mie kwa mlango mwingine kuwa mwenzangu haniamini so nitakubali kupima but moyoni ninasononeka sana. natamani kama kungekuwa na uwezekano wa ninyi kina baba kupimwa kama mmekuwa waaminifu mngeelewa ninachokisema hapa. Mfano ingekuwa mimba mnazibeba ninyi halafu nikwambie twende tukapime tuone kama kweli mimba ni yangu nadhani mngeelewa vizuri.