Kuwa

Kuwa

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,635
Reaction score
89,398
nuru%2Bya%2Bgiza.jpg
 
kuwa kama kuwa sio kuwaka mkuu i mean kuwa mwanga gizani kwa maana ktk kila mtu kutokana na kitengo alichopo awe mwanga ktk hiyo nafasi aliyonayo hii itatuondolea umaskini na kuheshimika dunia nzima kama waafrika ambao wenzetu wamezoea kupaita bara la giza!
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] nilidhani ni mnyambuliko wa maneno enzi za sekondari
Ha ha ha inaonekana ulikuwa mnyambuaji mzuri hebu nyambua hili "mpiga kura"
 
mpigiwakura mipigajikura wapigakura wapigianajikura[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom