Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 204
- 456
kuwa asilimia kubwa ya wanaume wanaojitia kitanzi ni mabachela
Ukioa kujiua ni kazi sana. Hufikirii kumuacha mke wako akiwa mjane, unafikiria hawa watoto nawaacha achaje?kuwa asilimia kubwa ya wanaume wanaojitia kitanzi ni mabachela
Majukumu yako ivoUkioa kujiua ni kazi sana. Hufikirii kumuacha mke wako akiwa mjane, unafikiria hawa watoto nawaacha achaje?
nadhani hiyo ni dhana tu,kuwa asilimia kubwa ya wanaume wanaojitia kitanzi ni mabachela
Adje sasa ivoMimi nimeshuhudia kwa macho wamba wote walio jinyonga zaidi ya wanne wote wana familia sio mabachela
Ulianza vizuri maelezo yako ukaja kuharibu hapo mwishoni chawa wa Lumumbanadhani hiyo ni dhana tu,
but watu mbalimbali regardless of gender or merituals status zao, hujutia kitanzi kote ulimwenguni, na huenda hata Tz, kuna mwanasiasa muandamizi pia akatiwa kitanzi hivi karibuni ikiwa mambo yataenda kama yalivyo 🐒
ok.Ulianza vizuri maelezo yako ukaja kuharibu hapo mwishoni chawa wa Lumumba

Siyo kweli wengi ni walio kwenye mahusiano/Ndoa.kuwa asilimia kubwa ya wanaume wanaojitia kitanzi ni mabachela
Ni kote-kote wanapatikana. Hivi kama Taifa; hiyo Takwimu haipo? Kwa sababu kuna wale wanaojinyonga/wanaojiua kwa sababu za kimapenzi lakini hawako ndoani, pia wapo wanaojinyonga kutokanana msongo wa mawazo,kufilisika, kukataliwa, manyanyaso, hasira iliyopitiliza e.g. kule Uheheni "Hapo Swela be" na hawajaoa .......list ni ndefu sana.Siyo kweli wengi ni walio kwenye mahusiano/Ndoa.