Ibn Unuq
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 5,495
- 10,048
Kama jambo haliwezi kuonekana, kupimika au kuelezeka kwa namna yeyote ile, Halipo.Kufanya jambo fulani, kwa nguvu ya ajabu isio onekana kwa macho, wala kuweza kuthibitishwa kwa uchunguzi wa kisayansi.