Malaika Gabrieli
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 3,298
- 6,136
Asante kwa uzi maalum.
Rais wako Samia Anajua mambo ya kiroho, ndio maana aliwaambia waganga wasifanye lamli chonganishiNi ujinga sana kwamba usipojua Siri za kiroho za kwenye vitabu vya dini utaharibikiwa na kuwa masikini.
My friends utajiri una formullar zake hata uwe bingwa wa kufunga, kuomba na kutoa hizo sadaka kama hujui kanuni za fedha utabaki masikini.
Na kama huna Nidhamu ya kazi, ya Afya, ya Chakula na ya Mazungumzo huwezi kuwa na maisha bora.
Kama Utajiri na Maisha mazuri ni kwa wale watu wanaojiita wa kiroho mbona wengi ni masikini?
Na mbona kuna watu ambao wako na Nidhamu, Consistency, They take risks, Hawakubaliani na habari za spirits sijui laana whatever na bado Tumetoboa.
Dini ni defensive Mechanism ya watu masikini na wengine walioshindwa kutafuta solution kwenye maisha yao sasa They are trying to seek some unavailable higher power — (Imagine mtu ameishi kwa kula hovyo akapata kisukari, Hospitali ikashindwa maana tatizo kubwa hapo ndiko anaenda sasa kanisani).
Nawaambia ukweli msipojua kanuni kuu za pesa na Msipokua na nidhamu ya maisha mtafia dini mkiwa masikini.
The dream of the Planet na Domesticated belief systems zitawamaliza wengi.
Ibn Unuq.
Samia?Rais wako Samia Anajua mambo ya kiroho, ndio maana aliwaambia waganga wasifanye lamli chonganishi
Unataka kusema kwamba maarifa ya kiroho ni ya kijinga?🧐Ni ujinga sana kwamba usipojua Siri za kiroho za kwenye vitabu vya dini utaharibikiwa na kuwa masikini.
Mafundisho yanayodaiwa ni ya kiroho ambayo ni ya kidini ni ya kijinga sana.Unataka kusema kwamba maarifa ya kiroho ni ya kijinga?🧐
Unaweza fafanua zaidi (mafundisho) kuyaita ni kijinga kivipi!?Mafundisho yanayodaiwa ni ya kiroho ambayo ni ya kidini ni ya kijinga sana.
Mimi siyo mtoto wa darasa la kwanza mkuu.Unaweza fafanua zaidi (mafundisho) kuyaita ni kijinga kivipi!?
NB; Usije changanya mafundisho na mahubiri.
Umesema "mafundisho ni ya kijinga." Bainisha kivipi?Mimi siyo mtoto wa darasa la kwanza mkuu.
Naelewa nilichokiandika.
Nakuomba nawewe ujaribu kuelewa nilichokiandika kuliko kuendelea kuuliza ulichokielewa.
Umesema "mafundisho ni ya kijinga." Bainisha kivipi?
Unaelewa nini maana ya neno bainisha/fafanua?Kiufupi,
Hakuna Jehovah,
Hakuna Allah,
Hakuna Yesu,
Hakuna pepo wala moto,
Na huwezi kuprove kama vipo hata nikuwekee 50 millions mezani.
If you can, then prove it.
Hizo ni Myths and Fansy stories thats why yeyote anayedili nazo anakuwa ni sehemu ya ujinga tu.
Unaelewa nini maana ya neno bainisha/fafanua?
bwana mkubwa hapa hatupo kuangalia tatizo ni nani. Ndiyo maana nikakuuliza "unaelewa nini maana ya neno bainisha/fafanua?" Bahati mbaya umejibu kama zimo kumbe hazimo kabisa!Bainisha maana yake ni taja tu, si lazima kuelezea.
Na fafanua maana yake ni kutoa maelezo kidogo kukihusu.
Awali wewe ulinitaka nibainishe, si kufafanua, hivyo nikabainisha kama ulivyotaka.
Hilo neno fafanua limekujia sasahivi baada ya kuona hoja zangu zimekuwa nzito,
Hivyo tatizo hapa ni wewe siyo mimi.
Halafu unaposema Bainisha/Fafanua bado unajichanganya tu kwasababu kuandika hivyo ni sawa na kusema Bainisha au fafanua,
Bado unanipa machaguo.
Hivi unaaelewa matumizi ya alama "/" kweli?
Inaonyesha unatakiwa kulipia ada nikufundishe upya somo la Lugha.
Ninachokiona unapenda tu kufanya Circular reasoning,bwana mkubwa hapa hatupo kuangalia tatizo ni nani. Ndiyo maana nikakuuliza "unaelewa nini maana ya neno bainisha/fafanua?" Bahati mbaya umejibu kama zimo kumbe hazimo kabisa!
Bainisha ni kitenzi kinachomaanisha kueleza, kutaja, au kuonyesha jambo, kitu, au wazo kwa uwazi, undani, na usahihi zaidi. Ni kitendo cha kufafanua kitu mahususi ili kieleweke vizuri bila utata, mara nyingi ikihusisha kuainisha sifa au maelezo ya kipekee.
Maana za kina za bainisha:
- Kutaja waziwazi: Kuonyesha jambo bila kificho (mfano: "bainisha matatizo yaliyopo").
- Kufafanua kwa undani: Kutoa maelezo yote muhimu ili kuondoa shaka.
- Kuainisha: Kupambanua au kuonyesha tofauti kati ya vitu.
Ninachokiona unapenda tu kufanya Circular reasoning,
Yaani unataka tubakie tunazunguka hapohapo kujadili vitu vidogo vinavyoeleweka.
Rudi kwenye mada mkuu kabla hatujajikuta tunahadithina hadithi za alfu lela ulela.
Siwezi kujibu swali moja mara mbili.Umesema "mafundisho ni ya kijinga." Bainisha kivipi?
Uchawi ni nini?Vipi kuhusu uchawi, upo au haupo ?