Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 9,751
- 15,545
Usipokuwa na maarifa ya kiroho basi upo hatarini sana sio tu kuwa masikini daima bali hata na kupotezwa kabisa.
Dunia ni uwanja wa vita, kati ya Ufalme wa Mungu mkuu na ufalme wa miungu.
Ipo nguvu isio onekana kwa Macho ya nyama inayoweza kutawala dunia na vilivyomo.
Roho, Nafsi, Mwili.
1. Mungu kaipa Roho mamlaka ya kutawala dunia na vilivyomo, nafsi au akili ya mtu hujikusanyia nguvu kutokea Ndani rohoni au nje mwilini.
2. Roho ya binadamu imeumbwa kwa mfano wa Mungu ndio maana ni roho yenye nguvu na mamlaka kuzidi roho ya Malaika na majini.
3. Binadamu akiongea kwa kinywa kusema jambo lolote maneno yake hutembea kama roho hai (words are spirit).
ndio maana kuna kitu tunaita manuizo.
4. Kutumia roho za malaika na majini sio kosa ni ruksa kwa kila mtu. Biblia na Quran vinathibitisha hili.
5. Nguvu ya uchawi hutumia roho kutekeleza jambo au kuendesha nafsi ya mtu mwingine (Maarifa na vigezo ni kuwa na Nguvu kubwa ya kiroho)
6. Nguvu za kiroho huongezeka kwa kujua kanuni za kiroho.
7. Ukiwa huna nguvu za kiroho, Mimea, ardhi, Maji na moto ambavyo ni Muhimu kwa mwili wa binadamu hutumika kiroho kumuathiri binadamu.
Kanuni baadhi za kichawi ili kuroga.
Maneno (Manuizo) + mti au majani + spirit zilizo ulimwenguni hutiii maneno ya miungu watu na kufanya jambo fulani
Maji + Manuizo + roho husika huja na kufanya jambo kulingana na maagizo.
8. Watu ni miungu kwani tumepewa vinywa vinavyoweza kutuma (kuamrisha) roho nyingi tofauti hapa ulimwenguni.
Roho hizo ukizijua tu zenyewe zinapenda na zinajua wajibu wake ni kumtii Adamu na uzao wake.
9. Unaweza kunyanyua vyuma kutanua misuri uwe na nguvu za mwili, lakini aliyetanua roho yake anaweza kuwa na nguvu kubwa zaidi supernatural power ya kufanya maajabu kama Samson.
Samson hakua na misuri mwilini ndio maana aliulizwa siri ya nguvu zako ni nini na hunyanyuagi vyuma spirit behind.
10. roho zinafanya kazi kwa maagano.
kwa kutumia maneno na kiumbe kama funza baada ya kukipa chakula fulani funza wanapokea nguvu ya kipepo na kuweza kwenda kumuingia mtu mwingine aise na nguvu za kiroho kwa kazi maalumu, hasa kuteka nafsi na kuigeuza isivyotaka.
11. Naongea kuhusu mambo ya kiroho
Ipo kanuni ya namna ya kujipa nguvu ya kimamlaka katika eneo fulani, zipo roho zinazotawala na kulinda mipaka na mataifa or territories.
12. Huwezi ukakuwa (to be great) tu na kuwa mkubwa na mkuu bila kutawala vitu fulani katika ulimwengu wa roho.
Pia inasemekana kuwa Kupitia mlezi wa mtoto mdogo Elon Musk, Elon Musk alikuwa na miungu ya jamii ya Misri katika chumba chake na alikuwa na roho fulani ambazo ni rafiki zake. bibi au mlezi huyo akiwa shahidi.
The spirit rule the World.
........
........
The spirit create the World