tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
upo Gaga?omba Mungu msioe wake wachoyo yaani huwa wanakonda wakiona wageni wakati wa chakula
Pole sana mkuu, ila ninachoshukuru ile situation ilinifundisha kujitegemea.Mbona we una afadhali me niliwahi kupelekwa kwa mama mdogo,yule alikuwa kiboko akipika msosi ile saa ya kula natumwa sehemu ya mbali,ili nikirudi nikute wameshakula na kama ntajitahidi kuwahi kurudi,lazima nikute mlango umefungwa kwa ndani inabidi niwe mpole,kwa hiyo kula nilikuwa nakula usiku tu napo nilikuwa napigwa finga kwenye sahani na vifinyinyo juu,siku moja nilikuta wamefunga halafu hawapo,MUNGU saidia niliipata funguo walipokuwa wanaweka alooo niliingia kwa hasira nikala msosi na mwingine nikabeba,nikasepa moja kwa moja.
Mama mdogo au msamalia mwemaNilikuwa nakaa kwa mamamdogo wakati na soma o-level day! Baada ya kugundua weakness yangu kwamba siwezi kula chakula chenye pilipili ilikuwa inasagwa kwa wingi na wakati wa kula inamwagwa kwenye mboga! Nilishindwa kuishi nikapata msamalia mwema mama mshiriki wa kanisa nilipokuwa nasali alinihost mpaka nikamaliza shule! MUNGU AMBARIKI TENA NA TENA na AMWONGEZEE UHAI MARADUFU NA MAFANIKIO ZAIDI
omba Mungu msioe wake wachoyo yaani huwa wanakonda wakiona wageni wakati wa chakula