Kuwa single raha sana

gango2 yanakukutaga wewe hayo ila mie npo sngle and happy
 
Last edited by a moderator:
Hakunaga hyo,ts married and bored OR single and lonely baaaas...
 
Im single and nt lonely
 
huo ni uoga wa maisha wanawake ni changamoto kwetu
 
U single raha binafsi na enjoy sana na sijutii kuwa single girl!!!!!!!
Sam Love Nakupa dedication ya single boy by ally kiba.
 
Last edited by a moderator:
Kila jambo lina mwisho wake.hata huo ubachela wako utagonga mwamba tu.
 

nami pia nipo kama wewe japo Heaven on Earth ananisababisha nataka kukukimbia
 
Last edited by a moderator:
AISEE! HUKU NI KUJIFARIJI

Sam Love maumivu yame kufanya usifie hata usivyo vipenda.

HAKIKA UKIKOSA UNACHO KIPENDA, PENDA ULICHO KIPATA.

PIA NAOMBA KUJUA NI KWA KIPINDI GANI UTA KAA SINGLE?AU MILELE?
 
Last edited by a moderator:
Hakunaga hyo,ts married and bored OR single and lonely baaaas...

Yaani mi mtu akisema the other way ni kuwa single and lonely.....sielewagi. Labda kwa wale ambao wenzi wao walitangulia mbele za haki wakaachwa peke yao!!
 
wewe kuni:busu si nilishakukatalia?
Wewe utaishia tu kunisalimia mkono tena nna mpango wa kuanza kuvaa 'glops'

hahaaa!! mi ndo nsha click kiss bana!! ndo hivyo unaona notification hapo, Excel has kissed you!!

afu hako ka po nimesharestisha kwa amani!! ngoja nione utakavyoanza kutanga tanga!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani mi mtu akisema the other way ni kuwa single and lonely.....sielewagi. Labda kwa wale ambao wenzi wao walitangulia mbele za haki wakaachwa peke yao!!

hivi dada tulishakutana wapi vile?
 
kuwa single shida tu!

kila usiku lazima ujipige bao!
 


Nadhani inategemea na jinsi mtu unavyochukulia mahusiano yenu, ila kwa sisi wanaume wengine kuwa single mzee!!!! haiwezekani mkuu. Kumbuka ili uheshimike katika jamii ni lazima uwe katika uhusiano hasa hasa katika ndoa
 
unajikuta unachafua mashuka

teh.. kuna njemba huwa zinatoa miguno ya kimahaba vitandani utadhani iko na madem kumbe inajipiga mabao!

kuwa na mrembo/warembo ni vyema kabisa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…