Kama vipi kikate na kifanyio kabisa, halafu ukitupe mbali kiwe chakula ya kunguru.
Kuwa single kutakufanya uishi kama mnyama.
Kama vipi kikate na kifanyio kabisa, halafu ukitupe mbali kiwe chakula ya kunguru.
sasa which is which ndugu yangu, nimwambie nafasi ipo au bora kuwa single?
Nani kasema kuwa single ni raha?
Mwenyewe si umeona umemuekea kamtego ka panya tu, anaanza kujichanganya!
Huyu kashapewa kibuti, kaja hapa aponze maumivu na single fekero wa JF!
...
Chezea kuambiwa 'baby nimekumith', 'nakupenda', 'nnagenye' etc!
afu raha nyengine unakula mbunye bila ndomu!
...
Hapana chezea! Binadamu yoyote, mkubwa na mzima akafurahia usingle!