I have been single for two year nw.
Kuwa single ni raha kipind cha mwanzo unapoanza usingle.
Bt later on unajisikia mpwekee.u wish uwe na mtu .seriously nw na admit usingle ni mmbaya.
At the same time una wish kuwa na mtu lakin wanaume wenyewe mhh waaminifu wachache. U wish uwe na mtu bt hawapatikani.
I HATE BEING SINGLE