Kuwa single ni raha jamani!

Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first

Hapo nina mashaka napo....
 
Hapo uko mapumzikoni (half time) tu, firimbi ikipigwa fainali utaiona baada ya dakika 90.

Wakati utakapokuwa unapigiwa miluzi na vijana wa saizi ya watoto wako kwa umri wao wakikuita demu, wakati ukifika nyumbani na kutaka kumtuma mtoto wa jirani yako na mama zao wakikujibu zaa wako uwatume. Wakati utakapoanza kuitwa bibi mtaani wakati hujawahi kuwa na babu yao...
 
Kama mtu kaamua kuwa single for sometime let her be, as long as huo u-single sio permanant. Its good to take a break ili kupanga mashambulizi upya. Kila la heri dada na Mungu akupatie wa ubavu wako.
 
Kama mtu kaamua kuwa single for sometime let her be, as long as huo u-single sio permanant. Its good to take a break ili kupanga mashambulizi upya. Kila la heri dada na Mungu akupatie wa ubavu wako.

Exactly, you and i read the same page!
 
Back
Top Bottom