Kuwa single ni raha jamani!

I have been single for two year nw.
Kuwa single ni raha kipind cha mwanzo unapoanza usingle.
Bt later on unajisikia mpwekee.u wish uwe na mtu .seriously nw na admit usingle ni mmbaya.
At the same time una wish kuwa na mtu lakin wanaume wenyewe mhh waaminifu wachache. U wish uwe na mtu bt hawapatikani.
I HATE BEING SINGLE
 
dada hajapata bado wa kumpagawisha hadi akafuta kauli zake hizo! uwe singo we nani?una raha gani? acha kujidanganya ni bora uadmit kuwa uko lonely tukusaidie kimaombi Mungu akujaalie mwenza wa chaguo lako kuliko kujishembendua hapa eti uko happy na ulonli wako wakati ukweli unao na unaujua mwenyewe moyoni na rohoni mwako...usidanganye nafsi yako dada usije kosa hata mtu wa kukupa hi huko kwa barabara...ikiri nafsi yako hata Mungu atakuwa na wewe...
 
Kuwa single ni kitu kizuri...hasa kama umeshapitia mahusiano kadhaa bila mafanikio...
... Itakupa mda muafaka wa kujitathmini, kuona wapi umekosea katika mahusiano yaliyopita na kurekebisha ili ukiingia tena uwe more focused na ujue nini hasa unataka kwenye mahusiano.

Baada ya kufanya tathmini, jaribu kuzingatia yafuatayo kabla ya kujiingiza huko...
... Je uko tayari kuanza uhusiano mpya?
... Kuwa na uhakika na unachokitaka kabla ya kuanza mahusiano.
... Tumia mda kwa kuwa marafiki tu na hapa ndo wadada wengi wanapokosea, baadhi wanaamini wanaume haraka sana, that's wrong and mwisho wake unaumizwa..kama MPENZI no 3
... Chukua mda muafaka, tumia mda wako mwingi kumfaham kabla hata hujajiingiza moja kwa moja..
 
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first
Unapata kila kitu... acha utani bana.... kigegedeo cha kiume unacho...?? Au umeandika kujifurahisha...??? Au unadildika na dildo..??
 
hata mimi aisee siwezi elewa somo......
ngoja tuwaulize na mateja wengine kama wataunga hoja...
cc. snowhite, BAK, Arushaone, sakapal

Pole yake kwa kuwa kila alikokuwa akiangukia anaangukia pasipokuwa na sponge au godoro la kukuzuia usiumie. Ukijikuta unakuwa na mahusiano ambayo hata kama yalikuumiza mara moja ila umepata raha na kuenjoy mara nyingi huwezi furahi kuwa single, as ukiwa single na idle utaanza kukumbuka zile good times na raha ulizokuwa unapata na utakuwa unahuzuni na kuumia zaidi. Yaonesha mtoa mada amekumbwa na mahusiano ya maumivu na kuvumilia mwanzo mwisho, hajawahi kuogeshwa, kulishwa, kuvalishwa kubebwa juu juu, kitandani unalala lakini unakuwa juu juu yaani unapaishwa tuu................eeeh ngoja niishie hapa nsije elezea mambo ya kikubwa sebuleni hata watoto wakasikia.
Ila pia kuna utamu wa kulamba asali kwenye mwiko, ulimi wote unajaa mate kama mbwa aliyekimbiza paka bila kumpata loooh siwezi fikiri wala tamani kuwa single, byeeee maana naona nazidi kumwaga mautamu tuuu hahahahahahaaaa.
 
I have been single for two year nw.
Kuwa single ni raha kipind cha mwanzo unapoanza usingle.
Bt later on unajisikia mpwekee.u wish uwe na mtu .seriously nw na admit usingle ni mmbaya.
At the same time una wish kuwa na mtu lakin wanaume wenyewe mhh waaminifu wachache. U wish uwe na mtu bt hawapatikani.
I HATE BEING SINGLE

Kama una agly face niPM, si unajua wao ndo habari ya mujini?
 
even a thug gets lonely , kila mtu anahitaji mwenza.

tumetofautiana , i cant live bila mwenza kasoro na matatizo yanayojitokeza ni changamoto tu kama vile maji ya mto yaingiavyo baharini.... i neva dreamed of being single hata kwa mwezi mmoja tu.
 
mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and i cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,i get everything i want ,i m in love with myself,am beautiful ,
jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first

ndugu single ni zaiidi ya uzinzi na umalaya uliokubuhu
sijakwambia wwewe ila kama umeamua hivi ujue unakoelekea ni huko nakwambia ukweli
m ninaongea kwa ushahidi na wengine tumewazika kwa nia njema pale kinondoni dear

kaolewe aijalishi ya mkeka ya magunia mpwa kuna raha yake kuna mambo mengine ya dunia
bila kuwa wawili ayaendeki yanaitaji ushauri kabisa na kama ukiwa mwenyewe uchelewi kwenda kuamka saa sita
usiku kuanza kugagarazana na mapenzi ya africasana na lasvegas asbh ukijidanganya single
sty blsd achana na hizo
 
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first

Sijaelewa hapo unajisex mwenyewe au..make kusema you Get everything you want..Amongst everything in any human nature ni Sex..So You also get it yourself.. Samahani lakini ni mtazamo tu
 
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first

Ngoja msimu wa nyege uje ndo uje tena.Dia human wants are unlimited
 
I have been single for two year nw.
Kuwa single ni raha kipind cha mwanzo unapoanza usingle.
Bt later on unajisikia mpwekee.u wish uwe na mtu .seriously nw na admit usingle ni mmbaya.
At the same time una wish kuwa na mtu lakin wanaume wenyewe mhh waaminifu wachache. U wish uwe na mtu bt hawapatikani.
I HATE BEING SINGLE

kaka umeongea vizuri sana kuna wadada wanajindganya kuwa wanaweza kunuwa mtu wa kusex naye wanapo..ukienda kwenye kumbi za starehe nyingi utakuta wadada wengi kuliko wanaume ila halali bila kutafunwa then kesho utasikia sina mpenzi huku unagegedwa kila siku..
 
kwa ufupi ni kwamba hata unachoongea hukielewi, una uchungu sana moyoni mwako. Utakuwa pia unjiachia sana kwa wapenzi kabla hata ya kuwaassess vyema. Do ever pray before starting a relationship?
 
Pole yake kwa kuwa kila alikokuwa akiangukia anaangukia pasipokuwa na sponge au godoro la kukuzuia usiumie. Ukijikuta unakuwa na mahusiano ambayo hata kama yalikuumiza mara moja ila umepata raha na kuenjoy mara nyingi huwezi furahi kuwa single, as ukiwa single na idle utaanza kukumbuka zile good times na raha ulizokuwa unapata na utakuwa unahuzuni na kuumia zaidi. Yaonesha mtoa mada amekumbwa na mahusiano ya maumivu na kuvumilia mwanzo mwisho, hajawahi kuogeshwa, kulishwa, kuvalishwa kubebwa juu juu, kitandani unalala lakini unakuwa juu juu yaani unapaishwa tuu................eeeh ngoja niishie hapa nsije elezea mambo ya kikubwa sebuleni hata watoto wakasikia.
Ila pia kuna utamu wa kulamba asali kwenye mwiko, ulimi wote unajaa mate kama mbwa aliyekimbiza paka bila kumpata loooh siwezi fikiri wala tamani kuwa single, byeeee maana naona nazidi kumwaga mautamu tuuu hahahahahahaaaa.

Umeongea vizuri kama ni mchangishaji wa kodi kwa kupitia kinywaji ningemwambia Kavishe akupe crate tano..Siku zote msema ukweli ni moenzi wa mungu
 
I have been single for two year nw.
Kuwa single ni raha kipind cha mwanzo unapoanza usingle.
Bt later on unajisikia mpwekee.u wish uwe na mtu .seriously nw na admit usingle ni mmbaya.
At the same time una wish kuwa na mtu lakin wanaume wenyewe mhh waaminifu wachache. U wish uwe na mtu bt hawapatikani.
I HATE BEING SINGLE

Good kwa kuwa mkweli.
 
Sijui nikupe pole ama hongera
Ila kama una furaha we ishi tu, kila kitu kwa muda wake
 
ooh!..thats for a short period of time..itafikia kipindi,you will need someone in your life
to keep u warm ee..
 
Joined 23rd June 2013,
Inaonyesha ni kiasi gani ulivyo frustrated, umeandika facebook hukooooo hadi umechoka. umeamua kucreate account JF uangalie kama kuna wenye tabia kama zako. unataka ku justify uamuzi wako.
POLE DADA wa one night stand.
 
Back
Top Bottom