Kuwa single ni raha jamani!

Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first

Inapendeza kuwa single kwa muda baada ya kuumizwa lakini inaumiza sana na inaondoa heshima kuendelea kuwa single kwa maisha yako yote.
 
Mie nishaumizwa kwenye mapezi lkn kuwa single sijidanganyi siwezi. Siwezi ku avoid nature.
 
aah bana we wacha kila mtu aenjoy na nafasi aliyopo na sio kupandikizana vitu hapa
 
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first
Hongera dada na Mungu azidi kukubariki kweli mapenzi yanaumiza na hasa unapopenda usipopendwa. Na wakati mwingine unakumbana na wanafunzi wa mapenzi wanaikaanga roho yako kama kitu gani bora ulivyoamua kukaa kivyako. Lkn kumbuka ipo raha unapokutana na mr right , utafurahi na kuona kwanini ulikaa peke yako siku hizo zote , hata hivyo kila jambo na wakati wake kwa sasa furahia uamuzi wako.
 
Too late to discover. Pole lakini.
You had to go thru several hurts to come to this realization/revelation.
It pays off eventually

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
... The next step;
IMG_6768.jpg

3IMG_3084_0.jpg

http://www.jandjphotography.net/sites/default/files/imagecache/blog_thumb/blog/8IMG_7791_
0.jpg

itz true 100%
 
Hiyo furaha yako ni ya kitambo. Mimi pia nimejaribu maisha hayo kweli unakuwa na amani 24/7 ila kuna muda unaufeel upweke na unatamani uwe na mtu pembeni yako hata wa kukuliwaza. Jipange na omba Mungu akuletee mwenza wa kweli kwa wakati wake ila hii mentality ya kusema una amani na furaha isikufanye usahau kwamba kuna muda utafika utamhitaji mwenza. Mie mwenzako Mungu akipenda mwakani nitaolewa kwa neema ya Mungu. Usingle una shida zake.
 
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first

nice option and safe one
 
Ngoja miaka ipite then utupe feedback kama kweli kuwa single kuna faida,nobody desires to be alone!!
 
Mi ni mwanamke niliyepitia mahusiano kadhaa ya kimapenzi,jamani mapenzi yanauma asikwambie Mtu,tangu nilivyojaribu kuwa single nimekuwa ni Mtu wa furaha,sina maumivu tena,and my happiness is what matters to me,and I cannot sacrifice my happiness for less,kwa sasa imekuwa difficult kuwa na uhusiano simply because am happy with my singleness,I get everything I want ,I m in love with myself,am beautiful ,
Jamani love doesn't hurt,ukiona unaumia toka,and love yourself first

Huna lolote umeshapigwa kibuti huko eti unakuja kujifariji huku kuwa single ni raha...watu wengine bwana kituko!
 
Bibie tambua kuwa
U cannot make someone luv u. All u can do is be someone who can be loved. The rest is up to them.

So cku nyingine ukiamua kurudi kwenye gemu hayo maneno uyaweke akilini
 
Back
Top Bottom