Kuwa single kwa muda mrefu simetimes ni majanga....

sangwine

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
144
Reaction score
45
Nina rafiki yangu mmoja, amekuwa single kwa muda wa miaka 2 na nusu hivi.. Naamekuwa akitumaini kupata mchumba wa ndoa siku za karibuni.. Jambo ambalo linauumiza moyo wake ni kila demu anaehisi anamfaa akajaribu kutupia mistari anaambiwa " na mtu wangu tangu mwaka jana mara " umechelewa" kwa kifupi kafight kwa wadada kama wa 5 hv kitu hola.. Kwa upande wangu nlimshauri akomae na mmoja had kieleweke, nilimueleza kuwa anaweza kupindua mahusiano ya dhati yakahamia kwake but anahofu isije ikiwa kweli mtu anawake akawa amepoteza muda kupenda mtu anae milikiwa.. JE MWANAJF USHAURI NI UPI JUU HILI..?
 
atulizane...mademu wa kweli akaoe mzungu. wabongo watambabaisha sana
 
Achague tu kama watatu kati ya hao wenye watu awe tu rafiki yao kwa dhati kabisa. Ipo siku mmoja atachoshwa huko atakuja spidi. Mimi ilishanitokea.
 
atulizane...mademu wa kweli akaoe mzungu. wabongo watambabaisha sana

Naomba nitofautiani na wewe ha:-
Niliwahi kusoma hii kitu kwa Muautralia fulani nilikua nafanya nae kazi sehemu, hi aliiandika mara baada ya kua Bongo kwa muda fulani, aliaandika hivi;
Hell is when you poses an Indian Car, Chinese House a British wife and having a Tanzanian Salary but Heaven is where you earn British Salary having Tanzanian wife and posessing German Car and having an American house. So please Tanzania women should proud themself, CC. Mamndenyi, Heaven on earth Madam B etc.
 
shukrani kwa kutukumbusha
 
Nina rafiki yangu mmoja, amekuwa single kwa muda wa miaka 2 na nusu hivi.. Naamekuwa akitumaini kupata mchumba wa ndoa siku za karibuni.. Jambo ambalo linauumiza moyo wake ni kila demu anaehisi anamfaa akajaribu kutupia mistari anaambiwa " na mtu wangu tangu mwaka jana mara " umechelewa" kwa kifupi kafight kwa wadada kama wa 5 hv kitu hola.. Kwa upande wangu nlimshauri akomae na mmoja had kieleweke, nilimueleza kuwa anaweza kupindua mahusiano ya dhati yakahamia kwake but anahofu isije ikiwa kweli mtu anawake akawa amepoteza muda kupenda mtu anae milikiwa.. JE MWANAJF USHAURI NI UPI JUU HILI..?[/

Asilimia kubwa ya watu wengi hawako kwenye mahusiano ya dhati, wengi ni kama wameegesha. Hivyo yeye cha kufanya ni kuonesha hayo mapenzi ya dhati, na awe serious. Nakuhakikishia atafanikiwa.
 
well hecertainly has a facility with words but bliv u me tz ladies are too deceitful for my liking...
 
Naomba nitofautiani na wewe ha:-
Niliwahi kusoma hii kitu kwa Muautralia fulani nilikua nafanya nae kazi sehemu, hi aliiandika mara baada ya kua Bongo kwa muda fulani, aliaandika hivi;
Hell is when you poses an Indian Car, Chinese House a British wife and having a Tanzanian Salary but Heaven is where you earn British Salary having Tanzanian wife and posessing German Car and having an American house. So please Tanzania women should proud themself, CC. Mamndenyi, Heaven on earth Madam B etc.

Unamvunja tu moyo mzabzab maana for what i see kama akiweza kurekebisha hapo kwenye red hamna cha hell wala nini
 
Last edited by a moderator:
Naomba nitofautiani na wewe ha:-
Niliwahi kusoma hii kitu kwa Muautralia fulani nilikua nafanya nae kazi sehemu, hi aliiandika mara baada ya kua Bongo kwa muda fulani, aliaandika hivi;
Hell is when you poses an Indian Car, Chinese House a British wife and having a Tanzanian Salary but Heaven is where you earn British Salary having Tanzanian wife and posessing German Car and having an American house. So please Tanzania women should proud themself, CC. Mamndenyi, Heaven on earth Madam B etc.

i didint see the mention,but here I am

thanks

Mbona kukwambia wana mtu ndo zao hizo. Hawawezi kukwambia yuko singo hata siku moja. Mwambie akaze tu mistari kitaeleweka tu.
 
Naomba nitofautiani na wewe ha:-
Niliwahi kusoma hii kitu kwa Muautralia fulani nilikua nafanya nae kazi sehemu, hi aliiandika mara baada ya kua Bongo kwa muda fulani, aliaandika hivi;
Hell is when you poses an Indian Car, Chinese House a British wife and having a Tanzanian Salary but Heaven is where you earn British Salary having Tanzanian wife and posessing German Car and having an American house. So please Tanzania women should proud themself, CC. Mamndenyi, Heaven on earth Madam B etc.

aliona mbali, ila ni kweli kama ni mtu wa kukutana na kupiga story na wageni wengi wanatukubali wanawake wa kitanzania, wanasema ni very beautiful hata ndani ya Afrika mashariki mwanamke wa kitanzania ni whaw!!!!!
 
Miss Double K, kazi yangu nimejikuta nafanya na watu wa mataifa tofauti tofauti sana, ukweli ni kwamba mnakimbiza mabinti wa kibongo, huyo anapendekeza wanawake wa kizungu, awaulize hata blacks wa South Africa, Brazil, US n.k, mahusiano yao na hao wazungu yakoje? Nawasiwasi huenda hua anaangaliga yale maigizo ya Porn akidhani ndivyo walivyo, kwenye ndoa achana nao kabisa, kamulize yule mcheza Golf maarufu duniani, nini kilimkuta.
 
hajatuliza akili, hebu mwambie akae chini kisha atafakari anataka aoe mke wa aina gani?
 
Back
Top Bottom