Kuwa na Wapenzi wengi kunapunguza uwezekano wa kuugua Tezi Dume

Hayo ni mawazo ya mtu, hayana uthibitisho wa kisayansi namna ambavyo wanawake 20 wanaweza kupunguza au kuzuia hilo tezi dume

Sasa utatumia condoms au terminal to terminal. Kama utatumia condom, je inasaidiaje kuzuia tezi dime?

Na kama ni terminal to terminal ni kitugani kinachopelekea kinga?
 
Back
Top Bottom