Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
"Ujumbe nimeupata" ngoja ni mwambie Blaki Womani aongeze juhudi nije nikuchukue
hahahahahah shem wewe tu na nafasi yako usisahau kitenge cha shangazi
"Ujumbe nimeupata" ngoja ni mwambie Blaki Womani aongeze juhudi nije nikuchukue
Haiwezekani wewe kuwa single. UsitutanieSawa mae... Ngoja nivute subira
Kama yapi?Mtoa mada, anasema ufute namba nk, lakini anasahau kuwa kuna vingine vimeandikwa kwenye mtima hivyo hizo namba unaweza kufanikiwa kufuta lakini mengine hayafutiki, labda ufe