Kuwa na subira ewe Mwanamke, utapata anayekufaa

My dearst kama mwanaume ameonyesha kutokukuhitaji plz usimlazimishe maana kwa kawaida mwanaume akishaonyesha kutokuwa upande wako hata iweje huwezi kumrudisha kwako!

Mwanaume havutwi kwa chochote kile kutoka kwako hata iweje nakuhakikishia kwamba kuendelea kumng'ang'ania ni kujitengenezea mazingira ya kujichukia na kujishusha thamani ! Jifunze kutambua mwanaume aliye kwako kwa upendo au kwa kitu unachokijua au usichokijua!!!!!

Wapo wanaotamka kwamba ckuhitaji ikitokea ametamka mshukuru kwa kukwambia ukweli halafu futa namba yake pili mtoe katika akili yako maana mwanaume habembelezwi sweetheart wala halazimishwi

Ilazimishe akili yako kuamini hili pia mwanaume ni ngumu mno kuwa mkweli hivyo akigundua unampendapenda hatakama hakupendi anakuchezea na kukudharau jifunze kudhibiti hisia zako yupo wakwako ambaye anatamani akupate hata Leo haijalishi Uko katika mazingira gani una mtoto, watoto au hauna usiogope wala kujidharau..
Acha kupotosha wenzako we mrombo..

Mwanaume huwa anatengenezwa...
Na MTU pekee mwenye uwezo wa kumtengeneza mwanaume ni mwanamke ambaye amefuatwa kwa ajili ya mahusiano.

Wanawake wote ambao wamedumu kwenye mahusiano mpaka kuingia kwenye ndoa maana yake waliweza kuwatengeneza wanaume zao na kuwafanya kuwa Good husbands.

Sasa wewe unawaambia wenzako wasubiri??? Hivi unafikiri tutaishi miaka mia mbili mkuu???

Women must play their part coz men are just like kids"
 
Maneno yako yanatia nguvu lkn hayananguvu ya kubadili ukweli moyoni mwanguuu....

MAPENZI YA DHATI HAMNA
 
Tunashukuru kwa ujumbe mzuri.
Kama haioni thamani yako sasa hatakuja aione kamwe!
 
Acha kupotosha wenzako we mrombo..

Mwanaume huwa anatengenezwa...
Na MTU pekee mwenye uwezo wa kumtengeneza mwanaume ni mwanamke ambaye amefuatwa kwa ajili ya mahusiano.

Wanawake wote ambao wamedumu kwenye mahusiano mpaka kuingia kwenye ndoa maana yake waliweza kuwatengeneza wanaume zao na kuwafanya kuwa Good husbands.

Sasa wewe unawaambia wenzako wasubiri??? Hivi unafikiri tutaishi miaka mia mbili mkuu???

Women must play their part coz men are just like kids"

Wewe ndiye mpotoshaji!!
 
Mwanaume anawazaga K tuu...hana hata la maana..ptuu
 
Mwanaume ni tokeo la wewe mwanamke unavyojiweka. Ukijiweka ki-K na yeye ataku-K haswaa, lakini pia ukijiheshimu na yeye atakuheshimu.
 
Kuna wanawake ving'ang'a hatarrrrrr mpka unashangaa hapendwi dhahiri lakini yumo tuu.....me nikisikia mtu wa hivi kaumizwa na kutendwa huwa namwambia "UKOME" hata kama mwanamke mwenzangu....

Asikwambie mtu nyota njema huonekana lukwili.
 
My dearst kama mwanaume ameonyesha kutokukuhitaji plz usimlazimishe maana kwa kawaida mwanaume akishaonyesha kutokuwa upande wako hata iweje huwezi kumrudisha kwako!

Mwanaume havutwi kwa chochote kile kutoka kwako hata iweje nakuhakikishia kwamba kuendelea kumng'ang'ania ni kujitengenezea mazingira ya kujichukia na kujishusha thamani ! Jifunze kutambua mwanaume aliye kwako kwa upendo au kwa kitu unachokijua au usichokijua!!!!!

Wapo wanaotamka kwamba ckuhitaji ikitokea ametamka mshukuru kwa kukwambia ukweli halafu futa namba yake pili mtoe katika akili yako maana mwanaume habembelezwi sweetheart wala halazimishwi

Ilazimishe akili yako kuamini hili pia mwanaume ni ngumu mno kuwa mkweli hivyo akigundua unampendapenda hatakama hakupendi anakuchezea na kukudharau jifunze kudhibiti hisia zako yupo wakwako ambaye anatamani akupate hata Leo haijalishi Uko katika mazingira gani una mtoto, watoto au hauna usiogope wala kujidharau..
Aikaamaee [emoji120]
 
Back
Top Bottom