binti wa kirombo
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 847
- 959
My dearst kama mwanaume ameonyesha kutokukuhitaji plz usimlazimishe maana kwa kawaida mwanaume akishaonyesha kutokuwa upande wako hata iweje huwezi kumrudisha kwako!
Mwanaume havutwi kwa chochote kile kutoka kwako hata iweje nakuhakikishia kwamba kuendelea kumng'ang'ania ni kujitengenezea mazingira ya kujichukia na kujishusha thamani ! Jifunze kutambua mwanaume aliye kwako kwa upendo au kwa kitu unachokijua au usichokijua!!!!!
Wapo wanaotamka kwamba ckuhitaji ikitokea ametamka mshukuru kwa kukwambia ukweli halafu futa namba yake pili mtoe katika akili yako maana mwanaume habembelezwi sweetheart wala halazimishwi
Ilazimishe akili yako kuamini hili pia mwanaume ni ngumu mno kuwa mkweli hivyo akigundua unampendapenda hatakama hakupendi anakuchezea na kukudharau jifunze kudhibiti hisia zako yupo wakwako ambaye anatamani akupate hata Leo haijalishi Uko katika mazingira gani una mtoto, watoto au hauna usiogope wala kujidharau..