Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
kaka ww ni baba wa nyumban waweza zurura nae tu sio ishu. huon mama salma anavyozurura na mkulu wa kaya.
kaka ww ni baba wa nyumban waweza zurura nae tu sio ishu. huon mama salma anavyozurura na mkulu wa kaya.
Mara utasikia naenda iramba kueneza sera za chama,mara yuko amerika kwenye ziara ya kamati ya bunge akitoka amerika,atapitia "dubai kwa kazi maalum",hauja kaa sawa utasikia bunge la bajeti linaanza wiki ijayo,una angalia tv una muona wife mjengoni kaka pembeni ya "naibu katibu mkuu" kiroho kinadundaaa daaah,bunge linaisha unavuta pumzi mama anarudi nyumban, mara ziara ya katibu mkuu au mwenyekiti wa chama jimboni kwa mkeo ohoo, baada ya siku mbili kikao cha NEC dodomaaa....kama unajifanya una mapenzi ya dhati unaweza kufa mapemaaa kwa presha ila kama una lenga kutanua kitaa na ma V8 basi kua mpole tu.....
R.I.P Amina Chifupa &Mpaka Njia
Maisha ni kuchagua, kama ww huwezi wenzio wanaeza, tena wapo wanaopenda kuwa huru kila mtu na time zake so, inakuwa vzr zaidi wakipata mtu wa dizaini hii
mie sio mwanasiasa banaDEMBA wewe chama gani?
Ndio maana unapaswa kuwa na mwenza wa kufanana nae. Ukiwa mburula oa mburula mwenzio. Ukijiingiza kwa mwenye akili zake utajitia stress tu
Merry Christmas!