Kuwa mwema!

Kuwa mwema!

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Usiwe mwema kwa sababu unataka kuwafurahisha watu. Kuwa mwema kwa sababu ni vizuri kuwa mwema. Dunia haiwakubali watu wema kabisa lakini jitaidi hivyo hivyo kuwa mwema. Maisha yanatupa zawadi kwa malipo ya kila tendo.
 
Ukiwa Mwema unaweza ukajizalia kidume kikaja kuwa IGP.
 
Mwalimu Mwema! nifanye nini ili na mimi niwe mwema?

Usiwe mwema kwa sababu unataka kuwafurahisha watu. Kuwa mwema kwa sababu ni vizuri kuwa mwema. Dunia haiwakubali watu wema kabisa lakini jitaidi hivyo hivyo kuwa mwema. Maisha yanatupa zawadi kwa malipo ya kila tendo.
 
Naona unatunga mistari ,sasa hiyo ni chorus au verse?
 
Back
Top Bottom