Kuwa mkweli, ni kipi ulichonacho hadi sasa?

Kuwa mkweli, ni kipi ulichonacho hadi sasa?

Guus

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,167
Reaction score
907
Interesting...!😛

Ni kitu gani ulikipata kutoka kwa Ex na umekaa nacho hadi sasa?
 
Kuna T shirt nimetoka kuichoma juzijuzi ilikua imeshaisha.

Ex wa mwisho tulipata mtoto ndio naishi naye.

Kiukweli zawadi ni chache nilizopokea zaidi ya nilizotoa. Ila yote kheri
 
Back
Top Bottom