kuwa makini

ney kush

JF-Expert Member
Feb 16, 2012
1,373
851
Jamaa mmoja alingia hoteli moja ya kimataifa na
alipofika ndani alifurahi sana baada ya kukuta
kuna computer ya kutumia chumbani kwake,tena
imeunganishwa na internet.Jamaa bila hata
kupoteza mda akaamua kumuandikia e-mail
mkewe....kwa bahati mbaya katika kutuma akakosea na kumtumia mwanamke mmoja mjane
ambaye ndo alitoka kwenye mazishi ya
mumewe.....
Yule mwanamke baada ya kufika kwake bila ya
kupoteza mda akawasha lap top yke na kuanza
kusoma e-mail zake ili aweze kujibu salamu za rambirambi toka kwa ndugu jamaa na marafiki.....
Baada ya kusoma e-mail moja tu ya kwanza yule
mama akapiga kelele na kuzmia....
Mwanaye wa kwanza wa kiume akatoka mbio
mpaka chumbani na kumkuta mama yake kazimia
kucheki pembeni akaona kwtna e-mail mamake alikuwa anaisoma so jamaa akaamua kuipitia
fasta kuj...ua kama ndio tatizo.....e-mail ilikuwa
hivi,,,
To my lovely wife
Najua lazima utashtuka sana kupata hii e-mail
toka kwangu.....sikutegemea kukuta computer hapa ila zipo na tunaruhusiwa kuzitumia....ndio
nimefika huku na hapa ndo wamenipa chumba
changu,,,,nimepokelewa vizuri sana tofauti na
nilivyotarajia.Watu ni wamejaa sana ila nafasi
bado zpo na naona kila kitu kiko sawa na
wamekuandalia vizuri na wewe sehemu ya kufikia....
Nakusubiria kwa hamu sana mke wangu na
usiogope safari ni fupi na utafika salama
usijali,ukifika tu kuna watu maalum watakupokea.
Mwambie huyo mwanetu mkubwa wa kiume na
wadogo zake wote watakuja jumuika nasi wiki ijayo hivyo wajiandae.
Nategemea sana ujio wako wa kesho ili tuwe
wote pamoja.
CANT WAIT TO SEE YOU HONEY
FROM YOUR LOVELY HUSBAND!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom