huu uzi nadhani ungepelekwa katika jukwaa lingine hapa hatusomahi vitu vyepesi vya watoto wa darasa la 7
[emoji28][emoji28]Au siohuu uzi nadhani ungepelekwa katika jukwaa lingine hapa hatusomahi vitu vyepesi vya watoto wa darasa la 7
huu uzi nadhani ungepelekwa katika jukwaa lingine hapa hatusomahi vitu vyepesi vya watoto wa darasa la 7
Usiseme hivyo kaka,siyo vizuri kiukwelihuu uzi nadhani ungepelekwa katika jukwaa lingine hapa hatusomahi vitu vyepesi vya watoto wa darasa la 7
Kwanini urafiki uli dieNi kweli.Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kumuuliza mtu,kwanini umeamua kunisaidia? Akaniangalia halafu akacheka huku akisema basi tu....nilikuja kumuelewa baadaye nilipomkumbusha hii kauli, tangu hapo urafiki wetu ulikufa hadi leo.
Jamaa alitaka kutake advantage niwe mtumwa kwake kutokana na hali niliyokuwa ninaipitia by then,si unajua maisha tena ndg yangu. Kuna wakati unakuwa katika situation unahitaji msaada ili utoke. Baada ya kumchana ukwel kuwa unanisaidia ili unipangie jinsi ya kuishi na dharau mbele za watu bora ubaki na msaada wako. Akakasirika na soon akajua nimetoka kwenye hiyo hali ndio akapotea mazima.Kwanini urafiki uli die
You did the right thing to tell him the truth.Jamaa alitaka kutake advantage niwe mtumwa kwake kutokana na hali niliyokuwa ninaipitia by then,si unajua maisha tena ndg yangu. Kuna wakati unakuwa katika situation unahitaji msaada ili utoke. Baada ya kumchana ukwel kuwa unanisaidia ili unipangie jinsi ya kuishi na dharau mbele za watu bora ubaki na msaada wako. Akakasirika na soon akajua nimetoka kwenye hiyo hali ndio akapotea mazima.
Kwa ufupi, hope so kidogo utakuwa umepata picha fulani hivi.
Kabisa mkuu. Fikiria anakwambia sitaki nikuone unaongea na wanawake fulani, kumbe yeye aliwataka wakampiga kibuti, nikamwambia usinipangie marafiki wa kuwa nao wewe unanisaidia tu.Nikamuuliza unakumbuka niliwahi kukuuliza kwanini unanisaidia?You did the right thing to tell him the truth.