TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Kwa nn si rahisi??Sio kirahisi rahisi namna hii.
Kuna mwana alisafiri toka mwanza akaweka begi kwenye buti ,wakati wa kushuka akazama kwenye buti akakutana na begi kama lake alipofungua akakuta full mzigo wa bangi ikabidi aliache pale pale hakupata begi lake mpaka leoInawezekana amebambikiwa au anafanya hyo bizness
Wiki mbil zilizopita nilisafir kwenda Arusha na bas ya osaka toka dsm tulipofka korogwe walipanda wadada 2 visu hatari lakn pale mwanga wale wadada walidakwa na bangi na askari aliwapoint wao mojakwamoja kila mtu alishtuka
Askar wanakuwa na informer wao
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Makolo fcUtopolo
Wakati anatoka, alihakikisha mzigo ni salama?!Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio,utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???
Kwa sababu sio rahisiKwa nn si rahisi??
Hii inaitwa stay out from XKuna mwana alisafiri toka mwanza akaweka begi kwenye buti ,wakati wa kushuka akazama kwenye buti akakutana na begi kama lake alipofungua akakuta full mzigo wa bangi ikabidi aliache pale pale hakupata begi lake mpaka leo
bado maswali mengi hata mm najiulizaWakati anatoka, alihakikisha mzigo ni salama?!
1. What if waliyemfungishia mzigo waliweka mzigo haramu bila kufahamu ambao, baada ya kufika Dar salama, mwenyewe ndo angejitokeza na kusema kuna mzigo wake ndani ya mzigo.
2. What if kama kakomolewa ama na mbaya wake or anything like that. Kwamba, kuna mtu ana bifu nae na akaamua kumtia adabu kwa kuwatuma watu wafanye walichomfanyia! (Hao polisi jamii walifahamu vp kwamba kulikuwa na mzigo haramu ndani ya mzigo wake?!)
3. Nani anaweza kukubali kirahisi kwamba alibeba ganja? What if katika kujikosha tu kwako, akajifanya alikuwa hafahamu chochote kuhusu mzigo kumbe alikuwa anafahamu from A-Z; na kwamba mzigo ni ama wa kwake mwenyewe alikuwa anausafirisha knowingly kwa mtu! (Namba 2 hapo juu, au mzigo ni wa ndizi lakini ukawa unatoa manukato mazuri ya kukata harufu ya ganja na hivyo kutengeneza mashaka ambayo hata mbebaji alitakiwa kushtuka mapema kabisa?)
Huyu atakuwa mshamba wa bush hukoooSio kirahisi rahisi namna hii.
Mkuu Ile stand imejengwa vizuri sana ila customer care,wizi na vitisho mshenzi Kwa abiria vimezidi!Wakati anatoka, alihakikisha mzigo ni salama?!
1. What if waliyemfungishia mzigo waliweka mzigo haramu bila kufahamu ambao, baada ya kufika Dar salama, mwenyewe ndo angejitokeza na kusema kuna mzigo wake ndani ya mzigo.
2. What if kama kakomolewa ama na mbaya wake or anything like that. Kwamba, kuna mtu ana bifu nae na akaamua kumtia adabu kwa kuwatuma watu wafanye walichomfanyia! (Hao polisi jamii walifahamu vp kwamba kulikuwa na mzigo haramu ndani ya mzigo wake?!)
3. Nani anaweza kukubali kirahisi kwamba alibeba ganja? What if katika kujikosha tu kwako, akajifanya alikuwa hafahamu chochote kuhusu mzigo kumbe alikuwa anafahamu from A-Z; na kwamba mzigo ni ama wa kwake mwenyewe alikuwa anausafirisha knowingly kwa mtu! (Namba 2 hapo juu, au mzigo ni wa ndizi lakini ukawa unatoa manukato mazuri ya kukata harufu ya ganja na hivyo kutengeneza mashaka ambayo hata mbebaji alitakiwa kushtuka mapema kabisa?)
No guts no mercy unaachaje begi la bangi aseeKuna mwana alisafiri toka mwanza akaweka begi kwenye buti ,wakati wa kushuka akazama kwenye buti akakutana na begi kama lake alipofungua akakuta full mzigo wa bangi ikabidi aliache pale pale hakupata begi lake mpaka leo
Hivi stendi ya magufuli abiria wanaotoka mbali na kushindwa kufika mapema saa 11 asubuhi.wanaruhusiwa kuja usiku kusubiri pale?
Makini sana upo🙌mzigo mi huwa naufunga mwenyewe na ninaufungaji wa peke yangu kiasi kwamba mtu akifungua awezi rudisha kama nilivyofunga, kwahiyo nikikuta tofauti lazima niwe na mashaka na pia naweka alama ktk mzigo wangu .
uonevu kama upi?Ile stand ya ubungo kasoro yake ilikuwa mpangilio mbovu na miundo mbinu isiyo rafiki Kwa abiria lakini hakukuwa na uswahili,uonevu na vibaka wengi kama hii stand mpya! Nahisi ni kwakuwa mabasi mengi hayana ofisi pale ingekuwepo nahisi abiria wasingekuwa wanasumbuliwa kama ilivyo Leo,rushwa na usumbufu wa hapa na pale
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app